Thanks Young MasterBibie unaumwa hata hatupeani taarifa utadhani tumegombana bwana! Anyway pole and get well soon.
Kama vipi potezeaa!!
sosoliso anajitahidi naendelea vyema!!!Pole mwaya...is sosoliso take a good care of you?
Utapona mpenzi
Yaani sijatoka ubavuni kwake toka ayapate haya mafua shem Chocs.. Atakacho anapata sema tatizo anang'ang'ania kifanyio wakati anaumwa.. Hebu muambie mgonjwa anatakiwa asisumbuliwe..