Habari za asubuhi,
Sauti inakwama haitok vizuri,nikimeza mate naumia mpaka nahisi machozi yananitoka..kichwa kizito kinauma,mafua ndo usimeme..kifua kinauma yani kukatia kifuani kupanda juu panauma
Sina raha kabisa nahisi kuboeka na kero tu..
Ee Mungu uniponye afya itengemae.
Nakuhurumia maumivu bby...
Au ulikula icecream kweli wakati nilikutania?
Get well soon lovee
Haya mimi49 pamekucha!Haya bembeleza mgonjwa basi mi nitakuja panapo majaaliwa...🙂
Nashukuru sana kwa salamu za pole shemeji Judgement kabanga TANMO sante sana, Munkari shemeji yako analifahamu hili and he is taking good care of mimi,asante sana
My wii Madame B sijui nini kimempata kaka yako siku hizi naona ntaitisha kikao cha familia, sis charminglady i appreciate your concern sungura1980 sante
Mungu ni mwema nitapona tu naamini hivyo
Nawapenda sana
We ulitaka taariga gani zaidi ya hii? Young Master hujipendi eeeh? Ntakunyofoa nanii shauri yako we cheza na mai waifu uone!Bibie unaumwa hata hatupeani taarifa utadhani tumegombana bwana! Anyway pole and get well soon.
Hahahahaa mkeo kaolewa wapi tena maana haonekaniHiyo aisikrimu hiyoooo mmmmh!!
Hahahahaa mkeo kaolewa wapi tena maana haonekani
Hahahahaaa hayo mafua yako ni nanii zimezidi tu hakuna lolote....wasiliana na sosoliso aje akupe tiba chap.sio alimonia kweli hiyo??!?! nenda hospitali best......pole sana mwaya
hata mie niko hoi kwa mafua na sore throat sema kifua hakiumi!!! ila sauti inakaukakauka!!!
Sawa ahsante nitakaribia..atapona tu inshallah kheri!Haya mimi49 pamekucha!
Mgonjwa bado hana nafuu sana ila si kama jana!
Kuna baridi sana leo ndio inayokwamisha kupona kwake ila atapona soon1
Karibu sana kumuona!
Poa kaka niko namuuguza wife.wewe ndio humuoni ila mimi kila siku usiku huwa nacheza naye kombolela...teh teh!
mambo vipi lakini mtu wangu...
Yeah....Everything happens for a reason.....Sawa ahsante nitakaribia..atapona tu inshallah kheri!
Hahahahaaa theory zinaaplyhiyo thiori sijui nani kaianzisha! mi huu nimeupata kutokana na kuwa exposed to vumbi and nilibwia mivinywaji ya baridi sana, na mimoshi kibao!! sasa naniliu zinahusikaje hapo!!! eboh!
hehehee mie nipo sema mkoloni tu ndo ananiyumbisha hapa....
mambo ni aje?
Poa kaka niko namuuguza wife.
Hatuonani mtaani kwetu siku hizi