Humjui wife wangu weweesasa nahisi nakujua....kuna mtu hapa nilipo ana dalili zote kama zako !
upone haraka mtu wangu!...ila sogea hospitali I wish I could help but kwa hili si upande wangu...
Pole dada,ugua pole...Habari za asubuhi,
Sauti inakwama haitok vizuri,nikimeza mate naumia mpaka nahisi machozi yananitoka..kichwa kizito kinauma,mafua ndo usimeme..kifua kinauma yani kukatia kifuani kupanda juu panauma
Sina raha kabisa nahisi kuboeka na kero tu..
Ee Mungu uniponye afya itengemae.
Habari za asubuhi,