Jamani sina jinsi ya kuwashukuru Memberz wenzangu woote kwa Maombi na Sala zenu wana JF, hatimaye nimetoka hospitali baada ya heka heka za tangu usiku wa Juzi.
Namshukuru Mungu nipo salama japo si kiviile kwa 100%.
Kikubwa ni Pumzi tu.
Namshukuru dada
Kijino kwa taarifa, Kaka
Bishanga na kaka
sungura1980,
kula kwa tindo kwa upendo wenu kwangu...Mungu awazidishie.
Wote mlionipigia simu, message na aina yoyote ya ujumbe.
Mungu awabariki sana,nawapenda sana Memberz wangu jamani.
Asanteni kwa kunifariji.