Get well soon Madame B

Kwa dr. mvungi ni maeneo gani;
Nijulishe ili asubuhi nipite kumwona shosti wangu.
Pia mpe pole sana sana.
 
Kwa dr. mvungi ni maeneo gani;
Nijulishe ili asubuhi nipite kumwona shosti wangu.
Pia mpe pole sana sana.
Ni Kinondoni B,kwenye kona ya kuelekea Mahakama ya wilaya ya Kinondoni.Hiyo hospital inajulikana pia kama Kinondoni hospital. Madame B anaendelea vizuri,asante kwa sala zenu ila tuzidi kumuombea
 
Last edited by a moderator:
Get well soon Madame B. MUNGU akupe uponyaji wa haraka.

Tunakupenda!
 
Last edited by a moderator:
Mwenyenzi MUNGU mwingi wa Rehema tunakutaja daima MUNGU wetu kwani hakika haujatupungukia Mungu. Naenda kinyume kabisa na nguvu ya mwovu shetani hana mamlaka kamwe kwa watu wako MUNGU wetu. Nguvu za giza zote tunazikataa kuanzia sasa tunaenda nao kinyume kbs kwa watu wako Bwana wetu.

Mwenyenzi Mungu mpe kupona mapema huyu Dada.
Tunaomba hayo katika nguvu yake Bwana wetu anayeishi sasa na hata milele.

Madame B pole sana na ugua pole na Mungu mwenye mwingi wa Rehema atakuonekania.
 
Last edited by a moderator:

Aaaamen, kwa niaba yake
 
Last edited by a moderator:
Jamani sina jinsi ya kuwashukuru Memberz wenzangu woote kwa Maombi na Sala zenu wana JF, hatimaye nimetoka hospitali baada ya heka heka za tangu usiku wa Juzi.
Namshukuru Mungu nipo salama japo si kiviile kwa 100%.

Kikubwa ni Pumzi tu.
Namshukuru dada Kijino kwa taarifa, Kaka Bishanga na kaka sungura1980, kula kwa tindo kwa upendo wenu kwangu...Mungu awazidishie.
Wote mlionipigia simu, message na aina yoyote ya ujumbe.
Mungu awabariki sana,nawapenda sana Memberz wangu jamani.
Asanteni kwa kunifariji.
 
Last edited by a moderator:

Pole sana. Jitahidi kufuata masharti ya daktari mwaya.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…