Pole sana Madame B,vip unaendeleaje?Bado upo hapo hospital?Mungu akuponye haraka sana uendelee kulitumikia taifa.Kama bado upo hapo hospital kwa Dr Mvungi ni PM tafadhari unatumie jina uliloandikisha na upo wadi gani nitakuja kukujulia hali asubuhi.Get well soon
Shem hivi kumbe muda wote kule MMU tunachat sikujua kama afya yako i dhoofu ili hali maana sikupita kabisa huku CC.
Pole sana shem Mungu akuponye na urejelee uzima..
kwi kwi kwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii taratibu jirani......
hata kama siyo watoto wa kitanga wanaishi huko........
hala hala usije ukarudi kwenye ambulance