Pole sana na ugua pole ladyfurahia....
Pole sana Doc
Get well soon ladyfurahia.
nashukuru kweli bestito
Pole sana Doc
Mungu akuponye cousin wangu.
Get well soon ladyfurahia
asante
umeshagetwell soon tayari?
aaaa pole best jamani pole sana sikuwa na taarifa sasa huyu Arushaone huko nyuma alikuwa alikuwa wapi kutuwekea mpaka leo umegetwell soon ndo kaiweka?kiasi bestito namshukuru Mungu niko kwa job siunajua nilikuwa na id ya 2days
Why me...why me oh why me....
too late to realize that!!!!!!!!!
kwanza hamjasolve ile ishu yenu!!!!!!
Nimekuuliza wewe...why do I have to be the reason to her sickness!?? hujasoma kuwa ana malaria? nishakuwa mbu..
WHY ME???!