Nakuombea upone kwa haraka Lady doctor. Mungu akashushe uponyanji ili dawa unazotumia zikafanye kazi yake upate kupona.
Arushaone pole sana kwa kuuguza.
Thanks hny, mgonjwa bado kalala ila anatokwa na jaso jingi nadhani ni dalili ya dawa kufanya kazi. Let us keep our fingers cross.
Amen. Mungu ni yote katika vyote. Atamponya usihofu
Hamjambo humu?
Good news Koku, mgonjwa ameamkamna ana nafuu kubwa sana!!
Good news Koku, mgonjwa ameamkamna ana nafuu kubwa sana!!
hata mimi hukunimention ila namuombea kwa Mwenyezi Mungu apone haraka
Mimba za mwaka huu zimetia fora. Madame B mimba. Kongosho mimba na sasa Lady doctor mimba mmmmh ni noma.
Nakuombea upone kwa haraka Lady doctor. Mungu akashushe uponyanji ili dawa unazotumia zikafanye kazi yake upate kupona.
Arushaone pole sana kwa kuuguza.
Mumy miss you