Duh, Mkuu Mungu akuponye uuone mwisho wa dunia hapo mnamo tarehe 21 December 2012
Nakuaminia Mzee wa RulaHakuna shida juice, na matunda matunda vitamfikia bila tatizo.
Umeonae? Wakati anaenda kuvamia alikuwa anaumwa kwa mbali, alivomaliza kuvamia homa ika double na kumtupa kitandani bila huruma lol.mh... Mie hata siku hizi simuelewi huyu shem wangu Erickb52 ... Juzi Juzi kulikuwa na thread inasema 'nimevamiwaaa..... Nahuyo aliyevamia alikuwa ni Erickb52 ... Tuambiane ukweli, ni doz ilikuwa kubwa akashindwa kuihando au alinatana?
Anyway, nikija kukupikia jioni utatudokeza mie na sweetlady .... Filipo kesho jioni ntachelewa kurudi home mpz... Twaenda kumpikia mgonjwa chakula anachokipenda ....
Mungu wetu ni mwema, mwingi wa rehema....Atakuponya haraka....
Hakikisha unamuita na Mr Rocky pia mkuu.Pole sana Erickb52 ngoja nimuite mchungaji LiverpoolFC aje akemee pepo hili la magonjwa.
sweetlady haya mambo mazito sana.... Itabidi tuwaombe hawa wana wa R Chuga wa jinsia ya ME wasiende 'KUVAMIA' maana wataumwa...lol.....Umeonae? Wakati anaenda kuvamia alikuwa anaumwa kwa mbali, alivomaliza kuvamia homa ika double na kumtupa kitandani bila huruma lol.
Kesho atatueleza vizuri mke mwenza.
Copy kwa PakaJimmysweetlady haya mambo mazito sana.... Itabidi tuwaombe hawa wana wa R Chuga wa jinsia ya ME wasiende 'KUVAMIA' maana wataumwa...lol.....
Filipo , LiverpoolFC , Arushaone , Mzee wa Rula , Mungi and many others angalieni hii mambo aisee....
aaaaaaah The secretary naona unamnyemelea kijana wetu hahaaaa
Like ! Like ! Like !Get well soon Bro..
View attachment 75670
Mungi huyo kijana alinitaka nikampa masharti magumu mpaka awe bikra kitu ambacho hana