jamani nasema staki kunywa juice ya aina hiyo kwan arushaone amenitumia kwa njia ndege ya ungo nami nimeirejeza kwa ndege ya fastjet staki itanifanya nimkosee muumba bure mr. locky mwambie mgonjwa erickb52 asinywe hiyo anywe hii hapa nimemtumia

Hahahaha nivea mie pia nakuvutia kamba. Ushapata wa kwenda nae tanga? Si unajua KakaKiiza ntakuwa nae bega kwa bega eeh.
Kazi ni kwakoacha niwatumie kidogo kaka yangu akiw anapiga keyboard hapo anafeeling za juu
ona sasa special kwa arushaone, madameB, na watu8 pamoja na mgonjwa erickb52 hii ni kwake atapata nafuu akiiona hasa hasa erickb52View attachment 75830