nawapenda ila wewe mwenzangu umezidisha kipimo kabisa haya
Mwambie aje aonje
Dena Amsi hujambo baby wanguHe he he he he he he ngoja nicheke nipumue
He he he he he he he ngoja nicheke nipumue
Dena Amsi hujambo baby wangu
Kuna mmbea mmoja anasambaza habari mbaya eti mimi nilikuumiza wakati wewe unanipenda kama uji na mgonjwa
Tena ukijaribu lazma ukatafute Lady Pepeta unifuate mwenyewe lolhaaaa! Mungu baba hiyo hainifai kabisa jamani arushaone kwanini umeamua kuniwekea hiyo chupa hapa,
ushindwe na ulegeee arushaone, unataka kuleta balaaa ushindwe mm sitaki kabisa hiyo niilifikiri ni hii hapa
Erickb52 kobe hashindwi na gamba lake bana na hapo ni pale pa kuonyesha kuwa wewe ni mwanaume na unajua kutunza penzi lako hata mbele ya misukosukoTeh sio umbea ila ndo hivyo
Hivi akikukubali ntamshangaa na ntaamini penzi haliambiliki mtu akipenda