Get well soon Erickb52


Heheheee wewe ndio unataka kunitoa umchukue Kipipi wangu na huniwezi
Mwambie na King'asti simtaki tena nimegundua hata juice ninazoletewa anakunywa yeye badala ya mgonjwa
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
nimejiuliza sana umepatia wapi hizi taarifa sijajua ,wewe ndio uliyevunja ndoa ya kaka yangu Erickb52 kama ulivonyemelea yakwangu juzi nisu nikusindike makonde ,
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
ndyofu ndo kitu gani mr locky?
ladyfurahia ndyofu ni aina mpya ya juice imeanzishwa na ni tamu mbaya
Ukinywa chupa kama nne au tano utaanza kuona nyota nyota tuu na utaanza kuongea kiingereza mfululizo hata kama hizo sentensi unazoongea hazina mpangilio
Muulize Arushaone au Erickb52 wanaijua vyema
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Nimeona dia, mgonjwa ameanza kuchagua watu wa kumuhudumia heee! Baadae tunampikia uji wenye hoho na vitunguu swaumu mpaka aamke!

Huyu mgonjwa atakuwa ana shida nyingine... Itabidi kamati ikae iamue moja kuhusu Erickb52 na Amyner
Nahisi ni ugonjwa wa "love"
 
Last edited by a moderator:


Hapa waliosoma ni mimi na wewe tuu wwengine wamepita hata bila kusoma maana maandishi nimeyafunika kwa wino mweusi wala usiwe na shaka nivea na huyo kaka yako wala hana maneno yeye akipokea kreti la ndyofu kwa xmass hii wala haongei
We tulia nivea nishayamaliza

Huyu nivea ni mdogo wangu sikupi...!
Dena Amsi ulimtenda ukamuumiza hakukubali tena...!
Kipipi hana muda wa kukutaka hata kidogo!
sweetlady kafa kaoza kwa nitonye
KOKUTONA analea wajina wangu


Hizi ndoto nyingine hizi unaota huku unatembea ni mbaya sana
Hebu kamsome sweetlady kwenye uzi wa marejesho ujue leo tunakutana wapi Erickb52 pambana kuendeleza majungu utashinda
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…