Get well soon dear Munkari

Hivi Munkari una utani na mimi eeeh?Mbona mpaka sasa hivi hajafika?
 
Last edited by a moderator:
mke mwe
nenda kwa ras simba anafundisha lugha zote hadi kikongo!!! hahaha
muulize
Heaven Sent
dr ras ndo kiboko ya kila kitu. Karibu Honey Faith, Yani ndani ya week utaongea lugha zote duniani, labda uwe tu na kichwa kigumu hahahha na tutakurudishia hela yako yote usipoelewa
 
Last edited by a moderator:
dr ras ndo kiboko ya kila kitu. Karibu Honey Faith, Yani ndani ya week utaongea lugha zote duniani, labda uwe tu na kichwa kigumu hahahha na tutakurudishia hela yako yote usipoelewa

Ok itabidi nifanye hivyo maana sitaki kupitwa na maongezi ya humu
 
Last edited by a moderator:
Get well soon Munkari my prayers are with you

Pole
 
Last edited by a moderator:
Nisamehe mke mdogo Honey Faith, mwenzio jana hali yake ilibadilika gharfla ikabidi nimrudishe Hospitali, kwa sasa anaendelea vizuri nami nitakuja nyumbani jioni nikitoka kazini. Love you all cc Munkari

Kwanini sasa haukuniambia?Nimekaa weee nakusubiria mpaka usiku wa manane.Sio vizuri hivyo Rogie
 
Last edited by a moderator:
Kwanini sasa haukuniambia?Nimekaa weee nakusubiria mpaka usiku wa manane.Sio vizuri hivyo Rogie
Niwie radhi simu yako iliishiwa chaji hivyo nilishindwa kukupa taarifa, leo utaniona panapo majaliwa mke wangu.
 
Pole sana Mukari...natumai umeshapona au unaendelea vizuri sana kwa sasa. tunakuombea uzima zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…