Coffee to hapa inapanda, ndio mlikuwa mnakunywa wakati mnasoma huko au? thanx sanausijali utapona mapema sana, Karibu nakunywa BACARDI BREEZER BEER, maarufu sana india
Kidogo tu goti, niko fitipole bb ummevunjika au umeteguka?
Thanx Dc pamoja sanaPole sana BB,
Hope utakuwa fit soon!
Mi nilidhani kule ni juice na mirungi tu, kumbe hata pombe zipoyeah somewhere in GOHA...
pole sana BB.
Ahsanteni wapendwa, nashukuru Mungu niko fresh kiasPole sana BB
Ahsanteni wapendwa, nashukuru Mungu niko fresh kias
Amina ,inshallah mwenyezi Mungu yuko pamoja namipole sana kipenzi, Allah akujalie afya njema upone haraka.
Sema Aamiin!
Nakupa pole rafiki yangu mpenzi BLACKBERRY kwa kuanguka na kuteguka goti....
View attachment 35207
You're Not Feeling Well.
So Brought Flowers For You To
Make You Feel Healthier And Happier
Why asking? wewe unafunga?unafunga ramadhani lakini?