Hivi hommie Asprin ukiumwa hangover ndo inakuwa hivi?:lie:
wa kutoa kwenye chama huyu, kama hangover hadi aambiwe get well soon, hatufai
Kajifunza ukubwani hayo mambo hayawezi,
ni heri tu amfuate Bwana.
Tena amfuate kabisa
Kwanza anatusumbua kumbeba kila siku bar
Fitina na udanganyifu ni sumu ya mapenzi.....
Nyie watu watatu nawatafuteni sana niwaangamize kwa kileo.
Mama Matesha ana bahati kuliko wanawake wote manake kila siku anatongozwa.... shenzy zake pombe. Shwain!!Wee tukilewa hadi uanzishiwe sredi??
Mambo gani hayo, utamtongoza mama matesha bure ajue mambo yanayofanyika bar
Mama Matesha ana bahati kuliko wanawake wote manake kila siku anatongozwa.... shenzy zake pombe. Shwain!!
Pona haraka babu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Nakuombea upone haraka babu Asprin ili urudi kuwakagua wajukuu wako...
Kwa kipindi hiki cha kuugua ntakusaidia kuwakagua wajukuu!
Get well soon
Niko gado kichizi... zirail kashindwa kunirestisha in Piis. Leta hivyo vidonge vyenzangu. Mia...Mia...Mia kudadadadadadeki!!Oya umesha get better soon au bado? kama tayari niambie nikupe vidonge vyako. maana sitaki nikupandishe presha kabla presha aliyokupandisha BADILI TABIA haijashuka. Mia