Get Well soon Asprin

Nakuombea upone haraka babu Asprin ili urudi kuwakagua wajukuu wako...
Kwa kipindi hiki cha kuugua ntakusaidia kuwakagua wajukuu!
Get well soon
We Kijana Erickb52 ni kijana bora sana. Nisharudi safe and sound. Kazi ni moja tu sasa, kulitumikia taifa thru Chit Chat.

Nasikia umeukwaa umodereta..... Hongera!!
 
Last edited by a moderator:
We Kijana Erickb52 ni kijana bora sana. Nisharudi safe and sound. Kazi ni moja tu sasa, kulitumikia taifa thru Chit Chat.

Nasikia umeukwaa umodereta..... Hongera!!

pole sana kamanda.....isijekuwa ni yale mambo ya w/end juzi tulipoachana pale.....nilikuonya mapema usinywe kile kiloba kilikuwa floti.....ona sasa....
 
Last edited by a moderator:
We Kijana Erickb52 ni kijana bora sana. Nisharudi safe and sound. Kazi ni moja tu sasa, kulitumikia taifa thru Chit Chat.

Nasikia umeukwaa umodereta..... Hongera!!
Hehe Asprin nimeukwaa aisee lol
Jenga taifa siunajua vijana ni taifa la kesho kwa sasa ni ma Babu na wazee
 
Last edited by a moderator:
pole sana kamanda.....isijekuwa ni yale mambo ya w/end juzi tulipoachana pale.....nilikuonya mapema usinywe kile kiloba kilikuwa floti.....ona sasa....
chezeya nyagi drai
 
Nini mbaya kiongozi tablet ? Nway nisema God stay with you! In order to recover soon.
 
Habari zilizotufikia hivi punde..... Asprin haumwi chcochote.....
Hii ni mbinumbinu za kujitafutia umaarufu hapa jeiefu.....
Yasadikika ni mpango wa mahusisu wa kunasa wajukuu kwa mpigo....
Ni mpango hatari ulioratibiwa na friimason Erickb52......
Habari kamili na picha za ODM akipiga valuu cum viroba zitakuja soon.....
(BTW Hommmie pole sana asee, hii malaria inaletwa na baridi)
 
Last edited by a moderator:
Au baridi ndo inamsumbua na mnyama kachachamaa? si aseme tu asaidiwe
 
Asprin chezeiya 3some weye??? nilikuonya hukusikia! pole lakini! nashukuru pia kwa TBS uliyonigongea!
 
Last edited by a moderator:
Ahsante mwaego CUTE, unamwona RR hapa chini anavyonisuta? Lakini si kosa lake, adabu alianza kuikosa tangu akiwa mdogo...


:closed_2::closed_2:
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…