Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
Wakuu yaani naumwa kiasi ambacho sijawahi kuumwa maishani!! Sijawahi kupata pneumonia kabla kwa hiyo vichomi mgongoni na kifuani ni kama sindano.
Ugonjwa huu ni matokeo ya baridi kali ya tangu mwezi March hadi mwezi July mwaka huu ambayo ilikuwa kali sana, nami nilikuwa mbishi sana kuvaa nguo za baridi wakati ule.
Natumia dawa kama nilivyoandikiwa na daktari, mchana sio mbaya sana ila usiku nddio naumwa mno kupitiliza ila I know I shall overcome this.
Kutoka moyoni mwangu nachukua fursa hii kuwashukuru wote mnaonipa moyo na kunijali sana.
Shukrani za pekee kwa Lady doctor. Speechless.
Get well soon Arushaone. Mungu Akupe nguvu ya uponyaji!
wii wangu pole kwa kuuguza jamani..........
wii wangu pole kwa kuuguza jamani..........
habari za saa hizi babe. mia
yeah. jana nliongea naye. nikweli anaumwa japo kwa sasa anaendelea vizuri kidogo. pole sana shemeji yangu Arushaone. mia
Mkuu Arushaone wakati unanisms jana ulikuwa unaumwa aise
Pole sana mkuu na Mwenyezi Mungu akupe uponyaji wa haraka kuweza kurejea kwenye mihangaiko ya maisha
Pole sana mkuu na Lady doctor muuguze vyema jamaa hapo
Mungu mpatie ponyo la wepesi kiumbe wako huyu .
Under care of his wife Doctor thought everythin will b fine .