jamani nawashukuru wote mlinitakia heri nipone, namshukuru mungu leo sijambo naendelea vizuri kiasi mungu awabariki kwa upendo.
Cc: farkhina, jerrymsigwa, measkron, slave, uran, miss neddy, kabanga, ichana, miss chagga na ladyfurahia bila kumsahau mupenzi wangu wa moyo daudi1
Jamani sina raha kabisa king'asti wangu wa moyo Angelicious anaumwa,maombi yenu yanahitajika wapendwa
cc Bantu lady,excel,mwallu,Rich pol,'valentine',shansarie,Kiwatengu, miss nedy na wengine maombi yenu yanahitajika wapendwa
Inimefurahi kukuona bestito karibu
cc home sehemu ya faraja
Pole sana shemeji yetu mpendwa! Tutakuwa nawe ktk maombi yetu ya kila siku! Tunakuombea upone haraka ujumuike nasi maana ndugu yetu Daudi1 halali kwa mawazo hakika umepata mume anaekujari ktk shida na raha! Pole sana shemeji.
Asante sana mtoto halali na hela leo sijambo kiasi
Najuuuuua??Shosti uji wa mgonjwa hauna makuu ati lol wataka ntoe recipe tenaaa
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
kwa mujibu wa maandiko usipo shukuru wewe ni mchawi.:A S-devil4::A S-devil4::A S-devil4:Jamani nawashukuru wote mlinitakia heri nipone, namshukuru Mungu leo sijambo naendelea vizuri kiasi Mungu awabariki kwa upendo.
Cc: farkhina, Jerrymsigwa, measkron, Slave, uran, miss neddy, kabanga, ICHANA, miss chagga na ladyfurahia bila kumsahau mupenzi wangu wa moyo Daudi1
Nafurahi kusikia hivyo mama maana sina raha kabisa wewe mwenyewe unaniona,lile tabasamu lako zuri nimelikosa,mapenzi yako dah! Mungu akuponye urudie hali yako ya mwanzo ugua pole mpenziJamani nawashukuru wote mlinitakia heri nipone, namshukuru Mungu leo sijambo naendelea vizuri kiasi Mungu awabariki kwa upendo.
Cc: farkhina, Jerrymsigwa, measkron, Slave, uran, miss neddy, kabanga, ICHANA, miss chagga na ladyfurahia bila kumsahau mupenzi wangu wa moyo Daudi1
Nafurahi kusikia hivyo mama maana sina raha kabisa wewe mwenyewe unaniona,lile tabasamu lako zuri nimelikosa,mapenzi yako dah! Mungu akuponye urudie hali yako ya mwanzo ugua pole mpenzi