Wapwa ni muda sasa toka mpwa Kaizer atoe thread ya get tugedha ya Mikumi sasa umefika muda muafaka wa kukutana wapwa na ku analyse cost za huko tutakako enda kama nilivyo pendekeza initial cost iwe 100,000/= hii kwa ajili ya msosi, usafiri, na hata malazi itategemea wapwa tutakapo kutana week end hii. Jamani week end hii tukutane na kuchanganua gharama za get tugedha bab'kubwa.
Nawakilisha.
Location iende kwenye PM
afadhali
location iende kwenye pm
Hapa mie no coment mkimaliza mipangilio yenu yooooooooooooooooooooote mtupe update kamili
kwahiyo kama ni double inabidi tu-pay 100000x 2
Usijali ndo maana tunataka week end hii tukae nafrahi wengi wamerudi Dar maana walikuwa vekesheni carmel, ZD, Xpin, Nguli, Kaizer, Georgie_Porjie, Geoff, JS na wengine jamani tufanye pale pale?
Usijali ndo maana tunataka week end hii tukae nafrahi wengi wamerudi Dar maana walikuwa vekesheni carmel, ZD, Xpin, Nguli, Kaizer, Georgie_Porjie, Geoff, JS na wengine jamani tufanye pale pale?
hahaaaaaaaaaa, this time nataka nipande tuk tuk. ushaitoa service lkn Fidel?
Usiache kufika.