Get tugedha ilifana na ilikuwa bomba

unaizungumziaje weight ya Yo Yo?sikuwahi kuota kama jamaa atakuwa na bode kubwa kiasi kile!lol
Yoyo anatisha, yani kumbe ni bonge la mtu zaidi kile kitambi bwana, inaonekana jamaa ni mtu wa safari na kitimoto.
 
Sikuwepo bana si unajua nilidhani ningewahi toka huku mkoani but nikachelewa

Ila I DO PROMISE next time mtanikuta nishapanga na viti nawasubiria!
tena ukifika tu uagize kitimoto kilo kumi maana watu kama yoyo na nguli kwa nyama hiyo wanatisha.
 
unaizungumziaje weight ya Yo Yo?sikuwahi kuota kama jamaa atakuwa na bode kubwa kiasi kile!lol

Hahaha! Alivotinga kwenye mchuma, nilihisi labda pancha. Uzito kama sementi! Huyu bwana anapiga tizi gym gani?
 
Ila naomba kuuliza mlipofika mlitambulishanaje sasa? Yaani ulipoingia ulijuaje kuwa pale wamekaa wanaJF?
 
Kale ka button ka senks kamepotea. Ngoja nikutwangie kwa hapa Thanks. By the way bajaji ilifika salama bila pancha kadhaa? Manake mtoto unakula korosha sijapata kuona. Ukiunganisha na ile juisi ya pilipili aina ya fanta!
bwana bajaji kidogo inimwage sema tu niko fiti kama best friends zake na nguli. sasa juisi ya pilipili aina ya fanta na korosho zilisababisha nikakosa apetaiti ya kula dina. btw, next time atakaekunywa fanta aseme kabisa ili nije na mikate:D
 
Hahahaha! Binamu bana! Kile kitambi cha YoYo na mkate....! Lol! Na atakayekunywa maji utamletea nini?
 
Ila naomba kuuliza mlipofika mlitambulishanaje sasa? Yaani ulipoingia ulijuaje kuwa pale wamekaa wanaJF?

Mi niliingia kwa mtindo wa riadha. Niliposema mabinamu zangu mpooo! Meza nzima ikacheka nikajua nimeshafika nyumbani! Peace!
 
mnanitamanisha mpaka bac, mie nilikuwa narushiwa matukio live na Fidel, i hope mme enjoy vya kutosha.....
 
Ila naomba kuuliza mlipofika mlitambulishanaje sasa? Yaani ulipoingia ulijuaje kuwa pale wamekaa wanaJF?

Na wewe bana maswali yako tulisha kutana wengine kikao kilicho pita pale wanapo piga NJENJE
 
mnanitamanisha mpaka bac, mie nilikuwa narushiwa matukio live na Fidel, i hope mme enjoy vya kutosha.....

Hahaha! Tulitaka kuingia hewani, binamu akatutahadharisha kuwa hubby wako ni mkurya. Ila salamu zako tulizipata. Thanks!
 
Hahahaha MJ1 na Nyamayao pamoja na F1 mlikosa uhondozi next time tunatafuta sehemu kwenye minyama nyama maana wengine tunapenda sana nyama kwa bia na Fanta ndo zenyewe.
 
mimi nilipofika nilitamka kwa sauti ARE YOU HE/SHE?nikakuta meza moja wadau wanacheka!:D

Duh aksante sijui Carmel na ZD waliingiaje kiwanja. Nimeipenda hiyo nahisi mie ningechemka maana ningeita tu Fidel mzee wa kujiexpress kwa nguvu (Sijui ningeweza na hizi aibu za kike!?)
 
Back
Top Bottom