englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
..................hilo jicho ndumu tupu
Akitoka hapo ameisha pata sasa ilo jiwe. Starehe na yy... yy na starehe. Baada ya muda anarudi huko huko. Elimu ya maisha ina hitajika sana kwa watu hawa.
halafu baadae arudi tena kwa maumivu mkuu.Kwa maumivu hayo, akizipata acha atumie atakavyo!
Mwana Apolo(mtafutaji) hachoki...akichoka..... kesha pata![]()