Na wewe unaogopa kupelekwa sunken place kama ChrisNi nzur sana hiyo story yake imenifanya niogope ata kua karibu na wazungu naona kama ni kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Live kumbe na wewe uliusikia mwanzoni kabisaNikiri nimechelewa kuiangalia hii movie ila ni nzuri saana. Nimeskia soundtrack ya wimbo wa kiswahili sijui nani aliuimba "sikiliza wahenga".
Na Jordan Peele alivyolink soundtrack na maudhui ya movie, daah wenzetu wapo creative saana. Kwa mlioiangalia ni wimbo wa nani huu? Na nimependa kusikia kiswahili kwenye movie kubwa kama hii.
Haha yah iyo sehem inatshaNa wewe unaogopa kupelekwa sunken place kama Chris
Mkuu nisaidie ...nawezaje kui download kwenye kismart phone change hapa.Unaitaka movie? Haitaingia hapa ina capacity kubwa ila ipo torrent
torent siku izi unasearch vipo manake siipatagi tenaPia Ipo torrent ukienda utaikuta
Mkuu nimefika hadi kwenye kudown load sasa tatizo nakosa sehemu ya kuruhusu ili niidown loadUwe na App ya torrent kwenye device ukishakuwa nayo nenda Google andika 1337x.to then itatokea wall andika jina la movie u-search... kisha unaipakua.