Gesi na Mafuta sio swala la muungano tena

peter mdee

New Member
Jan 20, 2012
1
1
Ni ajabu sana kuona baadhi ya mambo ya muungano, sasa yameanza kua sio ya muungano. Kwa mfano hili swala ya mafuta na gesi, linatugusa sote maana ndio chachu ya maendeleo ya huu muungano. Swala hili lilipaswa kubaki kua swala la muungano, huu ni mtazamo wangu. Kuzingatia kwa sasa kumekua na mfumuko mkubwa sana wa bei za mafuta na gesi, ni hakika kwa hili Zanzibar itaenda kua na bei nafuu zaidi kwenye Gesi na mafuta kuliko bara. Nawasilisha
 
Kuna vitu ukiviondoa kwenye list ya mambo ya muungano, huu muungano unakuwa either unapoteza taswira yake halisi au unageuka kutu na kuanza kula upande mmoja.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom