Gesi kushuka bei kesho

Vizuri, hata hivyo bado bei juu sana ikizingatiwa ges tunavuna wenyewe hapa hapa Tanzania, ilipaswa kwa kg 15 angalau iwe tsh 30,000 na kg 6 tsh 11500.
 
zamani ilikuwa 18 ikaja 20-21 so now,inaenda kuwa 18,500/= sio mbaya.
 
UnOna sasa kuna sababu gani kusifia kushuka bei ya gesi mbona jlipopsnda ulishangilia ges tunavuna wenyewe bado bei ya elf 44 ni kubwa sana
 
Duh afadhali maana elfu 3 kwenye ka Mihan kangu sio ndogo ati!

BTW hiyo 30k hapo mwishoni mwa habari yako unaomba assist kijanja nini?
 
Mtaani kwetu huwa tunanunua 48,000/- siku nyingi tuu,walikuwa wanaikwapua au!?ngoja tuone kama itakuwa chini ya Bei elekezi
 
chanzo cha habari yako boss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…