Gesi kupanda tarehe 6 Feb 2017

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,802
Reaction score
38,012
Mawakala wa gesi wametumiwa msg leo kuanzia tarehe 06/02/2017

Bei ya gesi zinapanda rasmi

Moja ya meseji inasema gesi kubwa itanunuliwa Tshs. 47,000 na kuuzwa kuanzia Tshs.52,000-53,000 kwa Kg.15

Kg 6 Kununuliwa Tshs. 18,500 na kuuzwa Tshs.21,500-22, 000

Tunaomba wanandugu msishangae ongezeko la bei maana nasi tumeongezewa bei

Kila. La kheri February
 
Duuh aisee tutakufa.... Na Gesi ndio ilikuwa mkombozi wetu. Manake ile ya Kg 15 ilikuwa 43,000. Mkaa gunia ni 60,000...
 
Hamna sababu ama maelezo ya kina kwamba kwanini wanapandisha??
Wameamua tu
 
Khaa. Watoe sababu basi hata za uong
 
Hivi gesi haina wadau ambao wanatakiwa wakae na kujadiliana kuhusu bei, EWURA na Muhongo msije mkakana kwamba hamna taarifa, Mara ya kwanza aliwaonea aibu likataeni hili.
 
Ndio tujue unuhinu wa mikataba ya hii gesi yetu na wawekezaj/wajenzi wa bomba la gesi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…