Gesi ailimia 84 kubaki Mtwara

Gesi ailimia 84 kubaki Mtwara

mkuu, njoo huku upepese huu uzi, the big show


huo ni wehu na wendawazim tuh mkuu,si umejionea mwenyewe ufinyu wa hoja yenyewe?

Ila tunashukuru kwa kuwa ummah mkubwa wa watanzania washaelewa uhalisia ukoje,hao waache waendelee kutwanga maji kwenye kinu
 
Huu nao mchanganyiko, yaani 16% inaenda bagamoyo/daslam kufua umeme na kuendesha viwanda, 84% itabaki mtwara ardhini au wapi? kwa akili za kawaida ulitegemea hii asilimia 84% ambayo ndo nyingi ishughulikiwe kwanza kabla ya hiyo 16%. JK bana anakosa hata hoja ya kufunikia kombe mwana halamu apite???
 
Ubinafsi huo.
Kama uchimbaji na maendeleo mengine yatokanayo na gesi yatabaki Mtwara well and good,isipokuwa gesi itagawanwa kwa wahitaji wote wa nchi hii.
Msijekuwa mnapiga kelele kumbe wenzenu wameshapita kwa chini ya ardhi na wanainyonya gesi nyie mnabaki kupiga mayowe juu ya ardhi.
 
Huu nao mchanganyiko, yaani 16% inaenda bagamoyo/daslam kufua umeme na kuendesha viwanda, 84% itabaki mtwara ardhini au wapi? kwa akili za kawaida ulitegemea hii asilimia 84% ambayo ndo nyingi ishughulikiwe kwanza kabla ya hiyo 16%. JK bana anakosa hata hoja ya kufunikia kombe mwana halamu apite???

hili sakata la gesi sasa hivi kila mtu msemaji!
 
Shirika la maendeleo ya Petroli Tanzania limewatoa wasiwasi wananchi wa Mtwara kuhusu gesi itakayosafirishwa kwenda Dar-es-Salaam kwa kuwa gesi zaidi ya asilimia 84 itabaki mkoani humo. Mkurugenzi mtendaji wa TPDC Yona Killagane alisema haya jana wakati akijibu hoja ya Mbunge wa wa Kilwa Kaskazini ,Murtaza Makungu aliyetaka kujua shirika hili linachukuliaje hoja za wananchi wa Mtwara kuhuhu kutandazwa kwa bomba hilo la gesi kwenda Dar-es-Salaam.Kutokana na ufaafnuzi huo wa TPDC,hoja za gesi ya Mtwara zilizokuwa zikiendeshwa kisiasa zilipotea na Kamati ikajielekeza kwenye mamboa mengine ya msingi kuhusu shirika. Ni wakati muafaka sasa wananchi waliokuwa wanachochewa na wanasiasa wa ovyo kuelewa ukweli huu kuliko kutegemea upotoshaji unaofanywa na hawa wanasiasa wahuni

Wizi ni wizi tu....hajajibu bado madai ya mtwara...!! Tunataka Power Plant and not otherwise!!
 
Shirika la maendeleo ya Petroli Tanzania limewatoa wasiwasi wananchi wa Mtwara kuhusu gesi itakayosafirishwa kwenda Dar-es-Salaam kwa kuwa gesi zaidi ya asilimia 84 itabaki mkoani humo. Mkurugenzi mtendaji wa TPDC Yona Killagane alisema haya jana wakati akijibu hoja ya Mbunge wa wa Kilwa Kaskazini ,Murtaza Makungu aliyetaka kujua shirika hili linachukuliaje hoja za wananchi wa Mtwara kuhuhu kutandazwa kwa bomba hilo la gesi kwenda Dar-es-Salaam.Kutokana na ufaafnuzi huo wa TPDC,hoja za gesi ya Mtwara zilizokuwa zikiendeshwa kisiasa zilipotea na Kamati ikajielekeza kwenye mamboa mengine ya msingi kuhusu shirika. Ni wakati muafaka sasa wananchi waliokuwa wanachochewa na wanasiasa wa ovyo kuelewa ukweli huu kuliko kutegemea upotoshaji unaofanywa na hawa wanasiasa wahuni

Ukiwa madarakani kwa hisani ya wanasiasa kama ilivyo kwa yale matangazo ya wizara ya afya(kwa hisani ya washington),hauna njia mbadala zaidi ya kugeuza umbumbavu na uhuni wako kuwa upumbavu na uhuni wa mwenzako.
 
Naibu waziri alisema atawaagiza wawekezaji wakang'oe mitambo iliyoishafungwa huko mtwara na kuwaacha wana mtwara kama walivyokua zamani.mbona hawa viongozi wana kinzana?kunanini hapo kwenye ges?kwani kunauharaka gani kwani ikibaki alidhini itaoza? Watatuuli mtwara hatoki mtu na gesi mjemtufanye kama nyamongo na mwadui hatutaki bana

wakati nyinyi mnabishania gesi ije au isije dar mafisadi wanasheherekea coz wanajua as long as gesi haijafika dar wataendelea kula tenda za mafuta mazito ya kuzalisha umeme kwenye yale mamitambo yenu yaliyopo pale ubungo na kwingineko.sometime i wonder kama hamchezi ngoma ya mafisadi.huo ndo ukweli mtamu kwenu but ni mchungu kwetu sisi maskini tusiokuwa na rasilimali huko mabushi kwetu!!!
 
Jamani yupo sahihi 84% itasafishiwa Mtwara na kupakiwa kwenye meli kwenda Asia na Europe, 16% ndio zinabaki Bongo.
 
Back
Top Bottom