GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,663
- 109,058
"Nataka kuona Visibility katika hii Wizara. Sitaki kuona Mfanyakazi yuko busy kuagiza Mihogo na siyo kujua nini Kinaendelea katika Michezo. Nikikuuliza Mfanyakazi yoyote Jambo la Kimchezo na hujui tutaonana wabaya"
Vyanzo Taarifa: Vipindi vya Michezo vya Redio mbalimbali kwa Jioni hii / Usiku huu.
Gerson Msigwa ( Katibu Mkuu mpya wa Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo ) sijui ni kwanini hutaki Kubadilika kwa tabia zako Chukizo kwa Wengi wanaokuzunguka za Ubabe, Dharau, Sifa, Kupenda Ukubwa, Kuogopwa na Kuabudiwa na Kujipendekeza kulikopitiliza kwa Viongozi Wakuu wa nchi.
Labda nikuambie ( tena kwa Kukusaidia ) kuwa hiyo Wizara uliyoko sasa ina Kipengele cha Utamaduni na kiukweli huko ( hapo ) Mambo ya Utamaduni ( Uchawi ) ndiyo mahala pake hivyo usipoangalia hapo utapigwa Kipapai ( Fusho ) la Kutukuka na mpaka utaiona Chungu na Kuikimbia japo najua kuwa nawe Kiutamaduni ( Kindumba ) hauko vibaya sasa na usiniulize GENTAMYCINE nimejuaje ila Wewe jua hili nalijua.
Sasa Gerson Msigwa kama Wewe tu ni Katibu Mkuu una hivi Vitisho vya Kitoto na Kipuuzi kwa Wafanyakazi wa hiyo Wizara je, Boss wake ambaye ni Waziri Dk. Ndumbaro Yeye asemeje? Una Kiherehere mno na kupenda sana Ukubwa na hili ndilo linakumaliza hadi Wafanyakazi wengi Kukuchukia na Kukupenda Machoni huku Mioyoni mwao wakiwa Wanakusanifu na hata Kukucheka kama siyo na Kukuzomea pia.