johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,615
- 142,949
Tbc inamilikiwa na WasafiMsemaji mkuu wa serikali Gerson Msigwa amesema wizara ya habari iko mbioni kuanzisha Television ya serikali itayorusha mambo ya maendeleo yanayofanywa na serikali.
Television hiyo itakuwa tofauti kabisa na TBC kwani itarusha mambo ya msingi ya serikali amesema Msigwa.
Source: Clouds tv
TBC ni ya taifaKwani TBC na CHANEL TEN huwa hawarushi mambo ya msingi?
Msigwa hiyo bajeti yakuanzisha Televisheni ingepelekwa kwenye maendeleo moja kwa moja.
Huu ni mradi mpya,je kwenye bajeti ya 2021/22 ulitengewa fedha? Au ndoto ya mchana?Msemaji mkuu wa serikali Gerson Msigwa amesema wizara ya habari iko mbioni kuanzisha Television ya serikali itayorusha mambo ya maendeleo yanayofanywa na serikali.
Television hiyo itakuwa tofauti kabisa na TBC kwani itarusha mambo ya msingi ya serikali amesema Msigwa.
Source: Clouds tv
Bado wanaandaa historia ya kwao,,,,kuna Tanzania mbili siku hizi ya kwao na hii tuijuayo sisiTbc tu siiingalii ndio utakuwa huo upuuz mpya?!
Vp lile somo la historia ya tanzania ?
Inaitwaje hii mama anaupiga mwingi auTBC ni ya CCM au Binafsi ππ shikamoo serikali mkitoka apo mkaongeze tozoππ