Gerson Msigwa: Hayati Rais Magufuli asipolala, hamlali

Mbele yake nyuma yetu...

Ila yeye hata akilala wasaidizi wake pia bado hamuwezi kulala...
 
Kwa hiyo alikuwa hajui faida ya kulala?

Kuna wakati mtu anaweza kufikiri anamsifia mtu kumbe ana muanika kuwa hakuwa na mipango na hajui kanuni za afya.

Ukikosa kupumzika hata dish lazima licheze, jee ndio maana lilicheza?
Tulia wewe
 
Hivi Samia nae hua analala??

Ngoja akimaliza muda wake tusikie stori za aina hii kumhusu.
 
Huja connect dots tu!!! jiwe alikuwa anawatania ila wao hawamtanii, hata kumkosoa huwezi kama kumtania tu huwezi
all in all,jiwe alikuwa jiwe kweli kweli.
Alikua jiwe kwa wajinga wajinga(watanzania).kwa lisu alibuma
 
Kwa hiyo alikuwa hajui faida ya kulala?

Kuna wakati mtu anaweza kufikiri anamsifia mtu kumbe ana muanika kuwa hakuwa na mipango na hajui kanuni za afya.

Ukikosa kupumzika hata dish lazima licheze, jee ndio maana lilicheza?
Mwendawazimu huwa halali usiku. Ni mwendo wa kupuyanga mwanzo mwisho.
 
Binadamu yeyote akisikia usingizi analala, mimi sijaona ajabu lolote hapo. Vipi amesemaje kuhusu kama ukimkosoa anakufanyaje! Au hili hajalisema....
Sijawai owna Binaadamu yoyote akasikia usingizi,hivi usingizi unausikia au unauhisi!!??
 
Nan angethubutu hlo???yule alipenda sana kuabudiwa
Sasa nimeamini kuwa JPM alikuwa na tatizo la akili. Mtu kukosa usingizi ni dalili mojawapo ya tatizo la kisaikolojia. Sasa mngekuwa mnampa Temesta. Hapo lazima alale. Atake asitake.
 
Back
Top Bottom