Gerson Msigwa: Hayati Rais Magufuli asipolala, hamlali

ALIKUWA HALALI KUUA UCHUMI WATANZANIA. NI BORA AMELALA MILELE.

MIAKA 6 UNASHINDWA HATA KUTOA AJIRA ZA WAALIMU, MADAKTARI NA MANESI??!!!

WASTAAFU HAWAJALIPWA PENSHENI TANGU 2017!!!

LALA SALAMA SHETANI MAGU!
Nchi iliingia uchumi wa kati
 
Msemaji mkuu wa serikali bwana Gerson Msigwa amefichua siri kuwa hayati rais Magufuli alikuwa analala anapokuwa na usingizi tu na ikitokea hana usingizi usiku mzima basi na wasaidizi wake wote hamtalala usiku huo.
Gerson Msigwa alikuwa msemaji wa Ikulu kwenye serikali ya awamu ya tano.View attachment 1981189
Hiyo inaitwa Insomnia.
Na Mwenyekiti wa CCM Mwanza ndg Diallo hakukosea, jamaa alikuwa na faili kwa psychiatrist.

"...... common causes of insomnia include:

Mental health disorders. Anxiety disorders, such as post-traumatic stress disorder, may disrupt your sleep. Awakening too early can be a sign of depression. Insomnia often occurs with other mental health disorders as well........"

REF:insomnia - Google Suche
 
Msukuma na Mkinga si watani wa jadi! Hapo tumelishwa tango pori. Watani wa Wasukuma na Wanyamwezi tunawajua.
 
Madikteta wote Duniani huwa hawalali kwasababu ya Damu na Zuluma dhidi ya Wanaowatawala.
Fikiria umtwange mtu shaba ya kichwa then uende chumbani na kujifunika shuka ukidhani utalala, hulali akyanani. Ndiyo maana hata askari wakitoka vitani hawalali ng'oo mpaka canceling ya maana.
 
Msemaji Mkuu wa Serikali bwana Gerson Msigwa amefichua siri kuwa Hayati Rais Magufuli alikuwa analala anapokuwa na usingizi tu na ikitokea hana usingizi usiku mzima basi na wasaidizi wake wote hamtalala usiku huo.

Gerson Msigwa alikuwa Msemaji wa Ikulu kwenye Serikali ya awamu ya tano.View attachment 1981189
Huenda sasa taratibu Watanzania tunaanza Kuambiwa ukweli wa sababu ya Kifo chake cha ghafla.

Kwani hata tu Kiafya na Kisaikolojia tu Binadamu asipopata muda mzuri wa Kulala, kufanya Kazi mno si tu anaanza Kuugua Uwendawazimu bali hata mfumo mzima wa Afya ya Mwili wake pia anauharibu.

Kisha unaanza kukaribisha au kuyaibua Magonjwa mengine hatimaye unakimbizwa Mzena Hospital Makumbusho Mkoani Dar es Salaam na kwenda Kulazwa Kimoja ( mazima ) Mkoani Geita.
 
Habari haijakamilika.sasa asipolala na nyie msipolala mlikuwa mnafanya Nini, jogging ,kuangalia tv au mlikuwa mnaruka ruka
 
Binadamu yeyote akisikia usingizi analala, mimi sijaona ajabu lolote hapo. Vp amesemaje kuhusu kama ukimkosoa anakufanyaje! Au hili hajalisema....
haujaelewa
umechagua kutoelewa!!!

jinga


kasema alikuwa msumbufu kama yeye hana usingizi, basi wote mtakesha, wako watu kama hao mmoja wapo mimi muda huu naandika ujumbe huu wewe unakoroma, sasa ungekuwa msigwa wangu nishakupigia simu
 
Msemaji Mkuu wa Serikali bwana Gerson Msigwa amefichua siri kuwa Hayati Rais Magufuli alikuwa analala anapokuwa na usingizi tu na ikitokea hana usingizi usiku mzima basi na wasaidizi wake wote hamtalala usiku huo.

Gerson Msigwa alikuwa Msemaji wa Ikulu kwenye Serikali ya awamu ya tano.View attachment 1981189
Walikuwa wanalipwa overtime au punda afe mzigo ufike?
 
Kwa hiyo alikuwa hajui faida ya kulala?
Kuna wakati mtu anaweza kufikiri anamsifia mtu kumbe ana muanika kuwa hakuwa na mipango na hajui kanuni za afya.
Ukikosa kupumzika hata dish lazima licheze, jee ndio maana lilicheza?

wengine mnalala baada tu ya kushiba.wengine sababu ya majukumu usingizi unakatika.
 
Back
Top Bottom