Msingida
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 9,761
- 10,836
Hiyo site ipo?nakumbuka kuna wakati kulikuwa na tetesi kwamba hao wajerumani walikuwa wanadai pia fidia ya gharama ya kumhifadhi huyo mjusi! hapo ilibidi serikali ipige kimya na kuwa wanyonge.
hata hivyo naamini ni suala la nchi yetu kushindwa kutumia nafasi ya mjusi kuwa huko ujerumani, mfano serikali inashindwa nini kulink huyo mjusi na sehemu/eneo alilopatikana? watalii wanaweza vutiwa kuja "site" ambayo huyo mjusi alipatikana iwapo promo nzuri ikifanywa.
Tungeweza kufanya sehemu ya kivutio pia