Germany Will Return 'Dinosaur' Remains To Tanzania


Kama mzungu alishindwa chukua raslimali wakati wa ukoloni anawezaje chukua almas,dhahabu,n.k baada ya nchi kupata uhuru?.....hawa jamaa walitupga sana mali zetu ndo mana zikatokea vita kama majimaji.
 
Kama mzungu alishindwa chukua raslimali wakati wa ukoloni anawezaje chukua almas,dhahabu,n.k baada ya nchi kupata uhuru?.....hawa jamaa walitupga sana mali zetu ndo mana zikatokea vita kama majimaji.


Usichanganye mambo, sijasema alishindwa kuchukuwa kama unavyomaanisha bali mazingira kwa nchi yetu hayakuruhusu rasilimali zetu kuibiwa wkt wa Ukoloni kwa Wazungu hawakuwa na muda kwani Reli ilivyokamilika tayari vita kuu ilishaanza hivyo hawakupata muda tofauti na nchi nyingine kama Kenya au Kongo na ndiyo maana Rasilimali zimeanza kuchukuliwa baada ya Uhuru lkn geographical mapping ilishafanywa hivyo walikuwa wanafahamu wapi kuna Rasilimali lkn kuanza kuchukua ni baada ya Uhuru na siyo kabla!
 

Mkuu hakuna mkoloni ata mmoja aliyekuja kutawala bila ya kuwa na lengo la kutuhibia....kujenga hayo majumba kama ikulu na magorofa mfano kariakoo nk....hii ni kuwa walishajiamisha kwamba watatwala daima....baada ya vita ya pili ya dunia wale walioshindwa wakaamua badili upepo.....zikaanza ishu za kuzisahidia nchi za Afrika kupata uhuru.....hawa jamaa huku hawakuja piga picha kama sisi tunavyoenda kwao piga picha nakupost kwenye mitandao....hawa walikuja tuibia tu....msikilize D.tramp na kampein zake anasemaje kuhusu Africa mkuu.
 
How Europe Underdeveloped Africa ~ Walter Rodney, nenda kasome hiki kitabu halafu urudi hapa
 
Yes sir, hahahah umetumia uzungu kuonyesha unavyowachukia wazungu.
Wewe ni Chichidodo
 
Reactions: svc
Na wao wakidai walivyoacha mfano reli ya kati na majengo waliyojenga mfano Ikulu itakuwaje ingewaje sijui kama kuna makubaliano na kama yapo terms zake zikoje.
Hakuna mjerumani alie jenga popote Tanzania zaidi ya Babu zetu ndio walio tumikishwa bila hata malipo kujenga mjengo kama wajerumani walivyo taka kwa ramani zao.
Reli ya kati ilijengwa kwa faida yao hao wakoloni, na hawaku jenga kwa faida ya wa Africa.
Kwa taarifa yako reli ya kati ilijengwa na babu zetu kwa kutumikishwa pasipo hata malipo na huku wakitumikishwa mithili ya wanyama tena wakichapwa bakora pasipo hata huruma.
Ebu usipende kuonyesha ujinga wako hadharani aiseeee
 


Ndiyo maana nasema labda haunielewi, lengo la Ukoloni wowote ni kwa mwenye Koloni kujinufaisha na hii inaendelea mpaka leo na ndiyo maana kuna maneno kama Ukoloni mamboleo lkn kwa upande wetu aliyetawala nchi yetu ingawaje alikuwa na lengo la kujinufaisha lkn hilo halikuwezekana kwa sababu ya mazingira muda haukutosha ...
 
How Europe Underdeveloped Africa ~ Walter Rodney, nenda kasome hiki kitabu halafu urudi hapa


Nimekisoma chote na kukielewa na kama ukinisoma utaona kwamba hapa naongelea Ukoloni TZ kama special case na siyo Ukoloni wa Bara la Afrika kwa ujumla, ni kweli Wakoloni walichukuwa Rasilimali kwenye nchi walizotawala lkn siyo nchi yetu, hapa TZ Wakoloni hawakuchukuwa Rasilimali kwani muda waliokuwa hapa ni mchache sana na Vita vya Dunia viliingilia hivyo Rasilimali zetu zimeanza kuchukuliwa baada ya Uhuru na siyo kabla!
 
Umeshawahi kusoma kuhusu Uhuru wa bendera, ukoloni mamboleo nk!?
 


Labda uko sawa kwa kiasi fulani lkn ni kwa nini tunazitumia hizo Reli na br. mpaka leo hii? Kwa taarifa yako tu mbali na kufanyia ukarabati hakuna br mpya hata moja tuliyojenga ambayo haikuwepo mwanzoni, sasa ni kwa nini?
 

Mkuu naona sasa tuachane na hii mada....mana siku ya pili leo hatujaelewana.
 

Taendelea kuweka ujinga wangu hadharani ili uweze kuondoka kama kweli ni ujinga! Kwa hiyo kwa welevu wako by default contract yao ni kwamba kwa sababu walitumikishwa bila huruma na wala bila malipo kama unavyosema hivyo inabaki kuwa mali ya following generations za waliotumikishwa bila ujira?

Sasa kama walijenga babu zetu katika mazingira magumu basi kwa nini sisi wajukuu zao tunashindwa kujenga wakati hatupati shuluba yeyote kutoka kwa any external forces? Na ukizingatia kuna baadhi ya wajukuu zao welevu mno kama wewe, ukiacha wajinga kama mimi!
 
Salamu wanaJF,

Ikumbukwe kuwa miaka michache iliyopita tuliambiwa Bungeni kuwa baadhi ya wabunge walikwenda Ujerumani kutazama na kujadili namna watakavyorejesha mabaki ya mjusi mkubwa zaidi duniani aliyechukuliwa hapa nchini na kupelekwa Ujerumani.

Tuliambiwa Mjusi huyo anawaingizia wajerumani fedha nyingi za kigeni kwa njia ya utalii.Hivyo, kama nchi yetu ikifanikiwa kumrejesha tutaingiza pesa nyingi kama Taifa.

Tuliambiwa kuwa ili tumrejeshe mjusi huyo ni lazima watanzania kadhaa waende Ujerumani kujifunza namna ya kutunza mabaki ya mjusi huyo na pia yaandaliwe mazingira ambayo mabaki hayo yatawekwa kwa ajili ya utalii.

Cha kushangaza ni kwamba hadi leo hii hakuna taarifa zozote juu ya mjusi huyo kurejeshwa nchini.

Je, tatizo ni hatujapata watu wa kwenda kujifunza kutunza mabaki hayo ya mjusi au wameshakwenda kujifunza lakini bado hawajamaliza mafunzo au tatizo ni sehemu ya kumweka mjusi huyo haipo au hatuna fedha za kumsafirisha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…