Gereza la Alcartaz (The rock)

Gereza la Alcartaz (The rock)

kinjekitile70

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2017
Posts
1,071
Reaction score
1,434
Kwa muda wa miezi 6 walichimba mashimo kwa kutumia nail cutter na vijiko, kisha kwa uchafu, mchanga, karatasi, sabuni, rangi na nywele..walitengeneza masanamu ya vichwa vyao...na baada ya hapo walitoroka gerezani huku wameacha sanamu zimelala vitandani..

Alcatraz ni gereza lililokua na sifa ya ulinzi mkali kuliko gereza lolote kuwahi kutokea duniani. Ni Alcatraz ndiyo ilichukua wafumgwa watukutu kutoka magereza mengine nchini marekani, tena sana sana wale wafungwa walio kamatwa katika majaribio ya kutoroka..inaelezwa kuwa..

ndani ya magereza ya Alcatraz iliaminika ni salama zaidi kuliko kuwa nje ya magereza hayo. Majaribu 14 ya wafungwa 36 katika kipindi cha miaka 30 walijaribu kutoroka lakini ilishindikana, huku wengi wao wakiuawwa na wengine kukamatwa na wachache walikufa maji..

Hivi umewahi kusikia kuhusu PRISON BREAK ya mwaka 1962?
Kinyume na matarajio ya wengi, simaanishi filamu ya SCOLFIELD na wenzake ambao walipanga mpango wa kutoroka gerezani katika tamthilia moja. Bali nina maanisha PRISON BREAK ya ukweli tena ya kwanza kubwa kufanyika katika..

Eneo ambalo hakuna alietarajia. Mnamo mwezi JUNE 11 mwaka 1962..wanaume watatu walifanikiwa kutoroka katika gereza la Alcatraz.

THE ROCK, ni jina la utani ambalo gereza hili la Alcatraz lilipewa kutokana na kuwa haikuwezakana mtu kutoroka katika gereza hilo

Gereza lilifunguliwa mwaka 1934 na lilifanya kazi hadi mwaka 1963. Gereza hili linapatikana katika kisiwa cha Alcatraz katika jiji la SAN FRANCISCO nchini Marekani. Sifa yake kubwa ya maji baridi yaliyokizunguka na mawimbi makali hufanya watu wengi washindwe kuogelea katika.

maeneo ya karibu na kisiwa hicho. Ukubwa wa KM 2.01 unalifanya eneo hilo kuwa dogo kias cha kwamba kuficha makazi kwa mfungwa yeyote atakayetaka kujificha.

Katika miaka 30 ya utendaji wake, ALCATRAZ haikushuhudia mfungwa yeyote aliyejaribu na akafanikiwa kutoroka nje ya..

kisiwa hicho. Kwa vipindi tofauti wafungwa 36 walifanya majaribio 14 ya kutoka katika kisiwa hicho cha Alcatraz na 23 kati yao walikamatwa wakiwa hai, 6 walipigwa risasi na kufa papo hapo, 5 walipotelea majini na 3 walirudishwa na mawimbi na hivyo kukamatwa tena na askari. ..

Ukiachana na jaribio kubwa la mwaka 1962 ambao inasemekana lilifanikiwa, kuna jaribio moja lilifanyika mnamo mwaka 1946 ambapo wafungwa sita walijaribu kutoroka katika gereza la Alcatraz lakini walishindwa..ambapo pamoja na kufeli kwao, walifanikiwa kuingia katika stoo ya silaha

Wakajibebesha silaha na wakaamsha kile kilichoitwa THE BATTLE OF ALCATRAZ ambapo mbali na vifo vya askari na kujeruhiwa, kikosi cha jeshi la Marine la Marekani liliingilia kati vita hii na kuwaua wafungwa watatu ambao walikua na silaha, ambao pia walikua miongoni mwa wafungwa

sita waliofanya jaribio la kutoroka. Na wale watatu waliobaki walihukumiwa kufa katika chumba cha sumu.

Mbali na mateso yaliyopatikana katika gereza hili, iliripotiwa kuwa…ndani ya gereza hili palikua salama kuliko nje ya gereza hilo hatari kabisa kuwahi kutokea

Hivi nikikwambia yakuwa mtu ana IQ ya 130 ni kitu gani kinajengeka katika akili yako?………bila shaka mtu huyo ni Genius.
Escape from Alcatraz..juni 11 mwaka 1962, ni jaribio pekee ambalo inaaminika lilifanikiwa. Wafungwa watatu wakiongozwa na genius mmoja kwa jina la MORRIS..

walisuka mpango madhubuti ambao uliwatoa salama katika gereza hilo. Kwa mfungwa mmoja kusindikizwa na askari wapatao 60 njiani kuelekea gerezani hapo na ulinzi mkali uliolitawala gereza hilo, wafungwa hawa hawakusita na kulianga jaribio lao kwa muda mrefu.

Frank Morris..

ambaye kwa ripoti ya polisi aliripotiwa kuwa na IQ ya 130, alipitia mengi katika ujana wake. Huku ikirekodiwa yakuwa alifanya uhalifu wa kwanza akiwa na umri wa miaka 13 tu. Kutoroka gerezani ni kitu alichoanza kukifanya akiwa bado ni mtoto mdogo kabisa. Na hio ndiyo ilikua..

sababu ya yeye kuletwa Alcatraz.

John Anglin na Clarence Anglin ni ndugu wawili walitoka katika familia ya watoto 13. Wakiwa wanapishana mwaka mmoja tu na siku chache ndugu hawa walikua patners in crime na walikamatwa siku moja katika tukio la wizi kwenye bank ya Colombia tena.

kwa kutumia silaha. Walifungwa katika magereza mengine kabla ya Alcatraz na ndipo inaaminika walijuana na FRANK MORRIS ambaye alikuja kuwashirikisha katika mpango wake wa kutoroka Alcatraz.

Timu ya wafungwa wanne ilikua itoroke usiku ule wa tarehe 11 lakini mfungwa mmoja..

aliekuwa katika mipango ya kutoroka pia lakini alishindwa kutoka kwa wakati na wwenzake wakawa wamekwisha ondoka, aliitwa ALLEN WEST.

Kipindi cha miezi 6 kilitosha kabisa kwa wanaume hawa kuusoma na kuuafnyia kazi uimara na udhaifu wa gereza la ALCATRAZ. Huku sifa kubwa.

zikienda kwa Morris alieaminika kuwa ni mastermind nyuma ya mpango huo. Mpango ulianza kwa kukuza matundu ya hewa yaliyo katika vyumba vyao kwenye Vents, Walitumia nail cutter na Vijiko kutoka sehemu ya chakula kukuza matundu haya kwa muda wa miezi sita. Kisha walitumia mbao za kuchorea na walichora mfano wa vents za hewa na wakazibandika katika sehemu walizochimba. Namna rangi na michoro ilivyoendana na uhalisia haikua rahisi kwa mtu yeyote kubain kuwa hapa kuna tundu hapa limekuzwa.

Kukuza matundu haya tu haikutosha, wanaume hawa walitengeneza.. midoli mikubwa mfano wa vichwa vyao..kwa kutumia karatasi, toilet papers, miswaki, uchafu, sabuni, rangi na nywele halisi za binadamu walizoiba kwa kinyozi wa gereza. Siku ya kutoroka ikafika, Frank Morris, John Anglin na Clarence Anglin…wanaume hawa walitumia mablanketi yao.

na wakafunika nusu ya vichwa vyao vya bandia na wakapita katika yale matundu ya vents ambayo yaliwapeleka mpaka nyuma ya ukuta wa gereza lao sehemu ambayo ilikua ni kama korido ndefu na kubwa ambayo imejaliwa na mabomba ya gesi, maji na yale ya uchafu. Sehemu hii, huwa.

hailindwi mara kwa mara. Walikutana. hapa.wakapanda juu hadi sehemu moja ndogo ambapo walitengeneza kiji-karakana kidogo ambacho haikua rahisi kugunduliwa na askari au patrol ya hapo. (Karakana hii walikua wakiitembelea siku za karibuni kabla ya kutoroka kwao walikua..

wamehifadhi makoti 50 ya mvua ambayo baadhi waliyaiba na mengine yalipatikana kwa misaada. Kisha kwa kutumia makoti haya, wanaume hawa walitengeneza mfano wa life jackets ambazo ziliwasaidia kuogelea na kuokoka katika maji baridi ya San Francisco.)

Kutoka sehemu hiyo ya..

karakana haikua kazi ngumu kwani, wanaume hawa walilegeza na kufungua nati ngumu zilizokua zimefunga feni ya ukutani ambayo ndiyo ilikua njia pekee kuelekea nje ya jingo hili la AL Catraz. Feni hii kubwa iliingiza hewa katika vyumba vingi vya magereza na wao walizifungua nati..

Itaendeleeaaa.........

IMG_20200508_191546.jpg
Screenshot_20200508-185333_Twitter.jpg
IMG_20200508_191737.jpg
IMG_20200508_192758.jpg
IMG_20200508_192955.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kisa kizuri

View attachment 1444007View attachment 1444009View attachment 1444015View attachment 1444039View attachment 1444040

Ngoja niende Telegram nitafute movie yake, mambo ya itaendelea aya

Nimejitahidi kuunganisha nimeshindwa
Naomba mods wanisaidie kuunganisha na hii sehemu ya mwisho

Tunendelee ....

Kutoka sehemu hiyo ya karakana haikua kazi ngumu kwani, wanaume hawa walilegeza na kufungua nati ngumu zilizokua zimefunga feni ya ukutani ambayo ndiyo ilikua njia pekee kuelekea nje ya jengo hili la AL Catraz. Feni hii kubwa iliingiza hewa katika vyumba vingi vya magereza na wao walizifungua nati zake kwa kutumia Drill waliyoitengeneza kwa kutumia Vacuum cleaner waliyoiiba pale gerezani.

Haraka walipanda na kuitoa feni iliyokua ukutani, hapo walipita na kisha kuirudishia tena. wakisaidiwa na bahati walizokua nazo.. mpango madhubuti ulifanikiwa…

wanaume hawa watatu wanafanikiwa kutoroka katika gereza la Alcatraz. Mwenzao alietakiwa kutoka nao Allan West alishindwa kutoka kwa wakati…alipofika katika sehemu ya feni hakuweza kupanda kulingana na sehemu yenyewe ilikua ndefu na haikuwezekana mtu apande bila kusaidiwa.

Alijikuta akibubujikwa na machozi, ndoto za kumuona tena mpenzi wake aliekua amemtembelea gerezani pale siku si nyingi zilipotea kabisa. Akiwa mwenye huzuni, Allan West alirejea katika chumba chake. Asubuhi wakati suala kutoroka kwa wafungwa watatu lilipogunduliwa, bwana west hakuwa na chaguo bali kushirikiana na polisi na kuwaeleza kila kitu kuhusiana na mpango wa kutoroka.

Wakati ikiaminika kuwa wamefariki dunia na ripoti za FBI zikidai wanaume hao walipotelea majini baada ya kutafutwa kwa siku kadhaa bila majibu..shuhuda mbalimbali zimekuwa zikitolewa ya kuwa wanaume hawa bado wapo hai. Familia ya Anglin imekuwa ikipokea kadi za christmass zisizo na anuani ya wapi zimetokea na huku zikiwa na majina ya ndugu hawa wawili. Pia picha moja ilitumwa mwaka 2015 ikiwa na watu wawili waliofanana ilitumwa kwa familia ya Anglin ambao iliaminika kuwa ni John na Clarence.

Huku habari za frank Morris genius anaeaminika kuwa aliupanga mpango ule, taarifa zake zikiwa bado hazijapatikana hadi leo.
Baada ya tukio hili, habari na sifa nyingi mbaya za gereza hili la Alcatraz zilienea, manyanyaso, kwa vipigo, ubaguzi wa rangi, lakini pia gharama za uendeshaji na zile za kuwahudumia wafungwa kila siku…

Gereza hili lilionekana kuwa ni mzigo kwa taifa. Ilipofika mwaka 1963, gereza la ALCATRAZ rasmi lilifungwa na wafungwa wake kusambazwa katika magereza mengine ya nchi...

Na hivyo ALCATRAZ ya sasa ni jengo gofu tu, kivutio cha utalii lakini pia sehemu ambayo filamu mbalimbali zimekuwa zikiigiziwa.

Mwisho

Mtanisamehe kwa uandishi mbovu...
IMG_20200509_135704.jpg
IMG_20200509_135803.jpg
IMG_20200509_135806.jpg
IMG_20200509_135858.jpg
IMG_20200509_140005.jpg
IMG_20200509_140103.jpg

Mtanisamehe kwa uandishi mbovu...View attachment 1444651View attachment 1444652View attachment 1444653View attachment 1444654View attachment 1444655View attachment 1444656

Sent using Jamii Forums mobile app
Maridadi kabisa hawa majamaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
story tamuu

Back
Top Bottom