Geranimo E.K.I.A: Kutoka Makao Makuu ya CIA Langley, Oparesheni Ya Kukamatwa Osama Bin Laden

Yericko unanisikitisha sana Mkuu! Unakumbuka kile nilichokwambia kwenye uzi iliopita wa Cooper??? Nilikwambia kwamba nilikuwa nakuheshimu sana bro.. and I mean it! Nilikuwa na heshima sana kwako... Nimesoma kitabu chako cha Ujasusi wa kiuchumi and i loved it! Kichwani nilijenga Picha ya Yericko tofauti sana na huyu ninayemuona humu.! Umejivunjia heshima sana mkuu

Tangu uanze huu utoto unaoufanya, nimekudharau mnoooo! Nimekushusha mnooo! Umepoteza heshima kubwa mno niliyokuwa nakupa.. Na zaidi umenisikitisha sana!
Badilika mkuu. Wewe ni mwandishi, na mwingine nae akiandika watu wakapenda usichukie!! Furahi, mtie moyo.. Huo ndio 'uGreat thinker'
Kwa hiyo The bold unataka kusema hii story umeitunga ww?? Maana sielewi mantiki yako
 
Asante sana kwa simulizi hii taamu....! Kuna kale kamsemo kanasema there is other side of every story!
Kwanza kumuhusisha osama na sept 11 huenda ni jambo lenye kuhitaji tafit zaidi. Kwa level ya planning na execution ya tukio la sept 11 ....watafit wengi wenye elimu za juu za fizikia...usalama na nyenginezo wametoa hoja zenye mashiko sana ikiwa osama aliweza kutekeleza tukio hilo bila c.i.a wenyewe kuhusika. Zipo rejea nyingi sana katika hili.

Lakin kuhusu tukio lenyewe kwenye simuliz hii...sababu za kutomuonesha osama baada ya kumuuua bila shaka zinaleta ushaka fulani ingawa hii haimaanishi kwamba hakuuwawa. Celebrity wa ugaid akazikwa kimyakimya bila uthibitisho wa ziada kwa kweli mie inanichefua. Zaid ya hapo...hilo kasri lilikuwa na ulinzi dhaifu kiasi gan hali yy osama akijua yuko kwenye watchlist 24hrs?! Yaan mtu mwenye uwezo wa kufanya planning ya level ya sept 11 siamini kwamba makazi yake yatakuwa na security level nyepesi...bila shaka IQ yake ingeshamwambia in advance escape strategy yake ikoje...!

Yaan binafsi nikifikiria sifa alizopewa osama na jins alvokuja kuuwawa hadi kuzikwa i feel there is so much left untold. Siwezi kuprove au disaprove kifo cha huyu jamaa...lakin kama c.i.a na marekan kwa ujumla waliaminisha ulimwengu kuwa Iraq ina silaha za maangamizi na dunia ikaamini....leo itashindwaje kutuambia imemuua osama tusiamini?!

There is other side of every story!!
 
Hii story kwa kweli inavutia san haichoshi kuisoma ni kama mtu apendaye kusoma mara kwa mara Bible,,
 
Back
Top Bottom