mishalejuu
Senior Member
- Jun 27, 2012
- 196
- 28
wewe kidogo maneno yako yanaweza kuipeleka nchi mbele kama utapata supporters... ila nasikitika kuwa wakati wanaJF wakijiita Great thinkers.... wengi wao nina wasiwsi nao maana ninayoyasoma humu si yatokanayo na watu wa aina hiyo. Guys we need bold direction and bold action. sio kutetea madaktari. Hawa wanagoma....yesi ni vizuri....lakini strategy hii si yenye kuleta quick impact kwa walio na serikali. Tayari serikali(viongozi) wanajifaya hawasikii...sasa huwezi kumsikilizisha mbuzi kwa kusema eti ...we mbuzi usile mahindi ya watu hapo...... hawezi kusikia. na hawa serikali hawawezi kusikia....madaktari wakigoma. kwani athari za mgomo haziwagusi wao kwa kuwa hawatumii hospitali hizi. bali tukigoma tunawaua watu wasio na hatia...the 'absolute poor' (which is about 85% of Tz population). Swali ni je tuendelee kugomea kwenda kazini watu wafe wasio na hatia au tubadili 'lugha' ili hao 'mbuzi' wasikie haraka na tuwe tumeokoa maisha ya wananchi?