Huyo Gerald yaani ninavyomuona pale efm yupo kimwili tu,lakini kiakili na mawazo na fikra bado zinawaza clouds fm,ipo siku anaweza kuisahau na kutamka clouds fm badala ya efm,mi nadhani uamuzi wa kuondoka clouds aliufanya kwa jazba au maringo kwa kuwa halikutarajiwa na lilikuwa la ghafla kwa sisi wa nje,japo lilianza kama tetesi.