gubegubekubwa
JF-Expert Member
- Jun 9, 2008
- 685
- 962
Wakuu nilikuwa natengeneza passo yangu maeneo ya TABATA huko, sasa naona hawa mafundi hawana utaalam wa kutosha kila Mara wanasema nunua hiki nikinunua tatizo liko palele nahisi ni mafundi uchwara.
Naomba anaye jua garage nzuri yenye mafundi mazoefu, wazuri na waaminifu ili niwe napeleka GARI huko.
NB. Garage iwe MBEZI, kimara au UBUNGO.
Naomba anaye jua garage nzuri yenye mafundi mazoefu, wazuri na waaminifu ili niwe napeleka GARI huko.
NB. Garage iwe MBEZI, kimara au UBUNGO.