Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,596
- 36,605
Polisi wote DUNIANI wannafanana ila statea kwakujifanya kama wanalinda malaika wanajikuta wao wema 

Angalia watu wanavyokula mabao utadhani wamefanya ajabu lanini
Waandamanaji wanatakiwa wasiachie walipokamata wakamate hapo hapo mpaka kieleweke maana heshma imepungua sana nadharau imezidi kweli