Ngareroo
JF-Expert Member
- Aug 11, 2019
- 2,144
- 2,513
Habari Wakuu..Me ni Shabiki mkubwa wa Basketball,Lakini Pia Nafuatilia sana Soka,,Nakubali Sana Uchambuzi Wa Kimpira Wa Kina, Nasri Khalfan, George Job, Hans Rafael, George Magunga, Farhan Kihamu, Evodius Oscar,Jemedari Said Kazumari, Geof Leah na Derrick Lissu,,
Ni Wachambuzi Wazuri Sana Lakini Kuna Hiki Kichwa, George Ambangile (Coach) Always Huwa nawaza Why Hapewi Timu Ainoe? Au hana leseni? Maana kuna Kipindi Nilimsikia Jemedari Said Kazumari Akisema Ambangile kuna course alikuwa anaichukua Pale TFF,,,
,IQ ya Ambangile kuhusu Mpira ni kubwa mno sijawahi kuona hapa TZ, Anani'inspire nqmimi kutaka kuanza kuchambua Soka,Kawa improved zaidi katika ufundi wa mpira,Yuko BRIGHT sana katika TACTICS PRESENTANTION and TECHNIQUES OF FOOTBALL EXPRESSIONS,,Jamaa Akianza kuchambua mpira kama hukuangalia mechi but inakuwa kama game uliicheki..Duh..!!Kina Hans Rafael Uchambuzi wao ni Facts and Expression of soka mentality, George Magunga wa Pale Crown FM anapita sana njia za Ambangile,,Sijui kwanini Simba,Yanga au Azam hawamtumii huyu mchizi katika mambo yao ya kimpira?..
Naombeni kujua Before Wasafi Ambangile alikuwa media gani? Na hii Elimu kubwa ya Soka kaipatia wapi?Au ndo kaitoa kwa Mwalimu wake Oscar Milambo Mkurugenzi wa Ufundi Pale TFF?, ila sidhani maana ata Milambo Mwenyewe haoni ndani kwa Ambangile😁😁