Geor Davie ni nani?

Kitabu kilivyosema watakuja manabii wa uongo wala haikugawanya kusema kwamba kuna waukweli na wauongo
Bali wote wanaojiita manabii ni wauongo eti mpaka wanawake nao
 
wadau,nimekua nikimsikia huyu mheshimiwa kwa muda sasa,leo nimekuta kipindi kwenye hizi local tv station kikinadi mkutano wake,ningependa kupata full profile yake,mwenye kumjua kuanzia utumishi wake source ya umaarafu etc naomba uilete hapa.
 
Huyu jamaa ni kiongozi wa kanisa la Ngurumo ya Upako, makao yake makuu yako Kisongo Arusha. Nasikia alianza uchungaji kimasikini tu, mara akaibukia tu sijui alipata upako wapi. Siku hizi ana ulinzi kama wa rais. Ila ameshagombana na mkewe, ndoa imemshinda.
 
Ni baba wa dairektaaa wa.Video.za ubongo wa fleva kijana NISHER alie tengeneza video.za nyimbo kama Nje ya box (weusi) Chuna buzi (she roll it) nanyingine nyingi...mtoto hana habari na uchungaji wa baba yake ...mtoto ni kondoo mbishi na hataki kuchungwa...Mzee ana miliki helcopta mbili yani kiufupi ni bilionea achana na hawa Wa Hazabe mzee wa hummer na yule kidumu wa mbasha
 
Bwahahaha....umenichekesha mstahiki meya lol
 
Mi najua anaitwa his exellency honorable baba geo davie the prophet ngurumo ya upako. Sasa kama dk imeongezeka atakua anaitwa his exellency honorable baba dr geo davie the prophet ngurumo ya upako.
 
Niliwasikia watenda kazi wake wakiongeza hilo la daktari....
 
Mi najua anaitwa his exellency honorable baba geo davie the prophet ngurumo ya upako. Sasa kama dk imeongezeka atakua anaitwa his exellency honorable baba dr geo davie the prophet ngurumo ya upako.

Mkuu katikati ya baba na dr kuna "mkuu wa manabii" so jina lake ni,
His Exelency Honorable Baba Mkuu Wa Manabii Dr. Geor Davie
 
Back
Top Bottom