Geologist Engineers na Welders wanahitajika

LENJENTZ

Member
Joined
May 21, 2013
Posts
69
Reaction score
10
Tunahitaji 2 Geologist Engineer mwenye uzoefu na ambaye yuko tayari kufanya kazi nje ya mji yaani vijijini

Pia tunahitaji 5 welders wanaoweza kutumia bit kubwa wanasema 4 milimiter kama nimekosea wataalamu wanirekebishe wawe na uzoefu wa kutumia gas kwenye kuchemea pia na wawe tayari kufanya kazi nje ya mji

tuma CV yako recruitment@lenjentz.com au recruitment@lenjentz.com

Nawashukuru sana

Shukrani za dhati kwa JF Management kwa kutupa watz mahali pa kukutana,kujadiliana, kufurahi na kusaidiana kufanikisha maisha BIG UP and LIVE LONGER Jamii Forums.
 
unahitaji Geologist kweli au una utani na hii fani? haiwezakani kabisa ukapata "A qualified and experienced Geologist" kwa staili hii. Napata shida kabisa kuamini kuwa unahitaji Geologist wa kukufanyia kazi zako na ukapata mavuno mazuri. Ila nikutakie mafanikio mema katika zoezi la kuwapata.

Mimi ni Geologist mwenye uzoefu wa miaka 6 ila kwa haraka haraka sidhani kama kwa staili hii utaweza kunilipa pesa inayofanana fanana na uwezo wangu wa kufanya kazi ila naweza kukusaidia kupata walau Geologist wazuri wa muda mfupi ambao watakusaidi kwa kuwa tu wapo mapumziko ya muda mrefu baada ya kampuni zao kusimama. Kama unahitaji msaada wangu ni PM.

mi ni graduate geologist,ila nshafanya industrial training to some mineral exploration companies.
 
Tunahitaji 2 Geologist Engineer mwenye uzoefu na ambaye yuko tayari kufanya kazi nje ya mji yaani vijijini

Pia tunahitaji 5 welders wanaoweza kutumia bit kubwa wanasema 4 milimiter kama nimekosea wataalamu wanirekebishe wawe na uzoefu wa kutumia gas kwenye kuchemea pia na wawe tayari kufanya kazi nje ya mji

tuma CV yako recruitment@lenjentz.com au recruitment@lenjentz.com

Nawashukuru sana

Shukrani za dhati kwa JF Management kwa kutupa watz mahali pa kukutana,kujadiliana, kufurahi na kusaidiana kufanikisha maisha BIG UP and LIVE LONGER Jamii Forums.

au mimi kusoma siwezi???
 
Uzoefu wako wa miaka 6 haujakusaidia ndugu yangu kabisaa. Hujajua kazi za siku hizi zinakuja kama zali tu? Utashangaa ukitaja value yako utapewa. Huyu keshaandika ninrecruitment agent. Na hata kama angekuwa hr, yeye sio technical personnel bali ni support staff. Hata akikosea kuandika haiathiri mshahara utakaotaka.

Jifunze kutodharau mtu ama kitu aisee. Utapitwa na mengi. Kuna makampuni ya ajabu tu na yanalipa mshahara 25 mil kwa mwezi. Stuka

Back
Top Bottom