Terrire
Member
- Jul 13, 2011
- 88
- 9
Mzee mmoja hua anapenda kujisifia sana. Siku hiyo akawa anajisifia ashatembelea zaidi ya nchi 12 Afrika.
Ikawa namna hii;
CONGO nimewahi kutembelea kipindi Pepe Kale anaanza mziki nilikuwa huko.
RWANDA nimeishi kama miaka miwili kipindi kile kuna machafuko ya makabila
SOMALIA tulikuwa tukipeleka vyakula vya msaada mara kwa mara
Mara mtu akamuuliza swali Kwa maana hiyo Geographia unaijua vizuri sana eeh, mzee akajibu
GEOGRAPHIA ndo usiseme maana pale nimeishi mda na nina watoto wawili huko .