Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 30,736
- 39,838
- Thread starter
- #21
android ambayo ipo kwenye virtual box, emulator au android x86, whatsapp zake ni standalone hazihitaji uwe na acount kwenye simu.Whatsapp yoyote ya kwenye computer au inayoRun kwenye hizo virtual environment haziwezi kufanya kazi kama huna account kwenye simu yako. Ni lazima kwanza simu iwe online whatsapp then ndio ya kwenye computer ifunguke.
angalia screenshot yangu hapo juu hio whatsapp ni standalone ina namnba yake na wala haina mahusiano na whatsapp ya simu yangu