Gentlemen nawaita kwa heshima zote

Gentlemen nawaita kwa heshima zote

Hello, everyone
Hope mko poa, siku kazaa zimepita niliitisha Kikao Cha ladies. kutaka kujua kwanini mala nyingi hua haiwezekani kushare mwanaume[emoji848] wapo waliorespond raha ya mume muwe zaid ya mmoja!! wapo waliobisha kabisa[emoji2955] wengine Hadi nimewaona pm wakieleezea kwa hisia Kali sana.

Sasa nawaita wenye nyumba, mi hua naamin wanawake ni jeshi kubwa but mwanaume ni general of the army.

Kabla sijasimulia nilichotaka kusimulia na kusema ninachotaka kusema naomba niwaulize,
Nyie kwenu ni ndoa ipi mnaipendelea ya mke mmoja au ya mke zaidi ya mmoja?
Niruhusu na mi nije pm ili nije nielezee kwa hisia kali
 
Hello, everyone

Hope mko poa, siku kazaa zimepita niliitisha Kikao Cha ladies. kutaka kujua kwanini mala nyingi hua haiwezekani kushare mwanaume[emoji848] wapo waliorespond raha ya mume muwe zaidi ya mmoja! Wapo waliobisha kabisa[emoji2955] wengine Hadi nimewaona pm wakieleezea kwa hisia Kali sana.

Sasa nawaita wenye nyumba, mimi hua naamini wanawake ni jeshi kubwa but mwanaume ni general of the army.

Kabla sijasimulia nilichotaka kusimulia na kusema ninachotaka kusema naomba niwaulize. Nyie kwenu ni ndoa ipi mnaipendelea ya mke mmoja au ya mke zaidi ya mmoja?
Mke mmoja kwa ajili ya familia, na vichachandu au asusa vya kunogeshea.
Naomba unielewe, chachandu na asusa ni ziada, siyo essential. Mambo yakiwa tight vinafutwa, siyo vipaumbele. Na mambo yanayoweza kuwa tight yakasababisha vifutwe kwenye orodha ni masuala ya muda (mwanaume akiwa na ratiba ngumu ni obvious vidumu lazima msahaulike), budget (kama mahitaji nyumbani hayajatimia wa kwanza 'kukatwa' ni mpango wa kando) na dharura nyingine za maisha kama ugonjwa nk.

Wamama wanaojifanya 'mwamba' kwa kuchukua majukumu ya wababa nyumbani, wanawezesha wababa kubaki na ziada kwa ajili ya hizo vichachandu na hasusa. Na hii ni mbinu nawapa wanawake; ukitaka mumeo atulie nyumbani, mwachie nafasi ya kuyamiliki majukumu yake ya umume na ubaba, yamfikirishe yawe kipaumbele chake, na kama ni kumsaidia fanya kujazia alipopungukiwa tu usiyapoke yakawa yako. Mama ukishajigeuza baba kwenye ndoa, nature inaitisha kwamba baba atafute mama kwa sababu hapo ndani yuko na mwanaume mwenzake, na ndipo shift ya kuelekea kwenye 'vidumu' inapopata nguvu.
 
Back
Top Bottom