Genocide denial: Rwandans take the fight beyond borders

Any way hiyo yakupewa medal na serikali ya Rwanda i don`t know anything abt it labda kuniondelea mashaka unaweza kupost link.
How ever ukweli unabaki palepale, i don`t see any heroism in him.
Watu walikimbilia kwenye hotel Mille Collines wakitegemea msaada wa raia wakigeni wengi waliokuwa wakiishi hotelini humo.
Rusesabagina has a duty to make sure that hotel guests ambao wengi walikuwa ni diplomats hawakutani nashida yoyote:
For the detailed story about Paul Rusesabagina read below:
Hollywood Debunked: What Really Happened Inside the Hotel RwandaÂ-|Â-Georgianne Nienaber
 

OMG!!

From Jmali (a) The issue is not whether genocide against tutsis happened. that is a fact that it happened...
Kwenye thread nyingine..

From Jmali (b) Ukirudia hayo maelezo ambayo unaniulizia, utagundua nimetumia maneno "the so called genocide", kumaanisha kuwa there was none!''

What is your stand on this?? with conflicting statements like this, any one who has interest in truth can really think twice when reading your posts.
 

haya sasa tukikuita Interahamwe revisionist hautaki! nyie bwana mshagundulika hata mlie vipi!!!
 

Of course you wouldn't know anything about the medal! Hiki ndio kitu kinachonipa shida kujadiliana na nyinyi. Huwa mnabisha vitu ambavyo ni comon facts. Kuhusu hotel rwanda na kilchotokea mimi sikuwapo na wewe i guess hukuwapo. The only information both of us have ni kutoka third parties, rusesabagina na the people who were there, feel free kuamini info zako na mimi nitaamini za kwangu. siku njema.
 

weka the full text of that "(b)" ili watu waelewe context nzima, including mjadala ulianzia wapi, sio unanyofoa nyofoa vipande to suit your arguments. zingatia "the so called" then kabla huja-paste, ielezee what it was. I was denying that "so called". Link please, thank you.
 

Kama ni common facts..weka hapa hiyo link tuione...tatizo ni nini? Ukiona hii interahamwe inaandika hiyo sentensi ya mwisho ujue tayari imeshabanwa map.umbu.
 
Kama ni common facts..weka hapa hiyo link tuione...tatizo ni nini? Ukiona hii interahamwe inaandika hiyo sentensi ya mwisho ujue tayari imeshabanwa map.umbu.

basi sawa tufanye hivyo.
 
Agree100%!!!!
 
basi sawa tufanye hivyo.

basi tufanye hivyo? Ok, kwa kifupi haurudi tena ku comment kwenye hii post? umeshakinukisha... basi itakuwa vizuri uachie ukumbi wanaoweza kuongea kwa facts na sio uzushi! kajaribu zile post nyingine ila ni sharti uongee facts lasivyo a huko kwingine tutakufwata juu kwa juu Interahamwe we...
 

100% AGREE with JMALI!!!
 
Last edited by a moderator:

Now you are talking mkuu. This is the point i am always making. Genocide inafanywa ni mtaji wa kisiasa, it has become a highly politicized thing to the level where it is sickening.

Ukweli kuhusu Rusesabagina wanao waliokuwa Hotelini. Kinachokera ni kuwa kuna baadhi ya watu wanajifanya kuwa wao walikuwepo Hotelini na kusema Paul haukuokoa watu. Lakini ntatapika kama Paul anaanza kutumia kisingizo cha kuwaokoa watu kama mtaji wa kuingia kwenye siasa.

Labda niseme ukweli, (Murutongore ameweka hili vizuri) ninachojua kuhusu Paul ni kile kilichooneshwa kwenye Hotel Rwanda, Hollywood as usual is very good at dramatizing things and creating "heroes". So my view on this is the one that is built by holiwood.

Kwa hiyo ukweli wa kilichotokea Hotelini ni kile kinachosemwa na wale waliokuwa hotelini, sio waliokuwa wanapigana kutoka msituni. Trouble is waliokuwa msituni ndio wanaongea kana kwamba wao ndio walikuwa hotelini. I really hate this...i call it dancing on graves of genocide victims.
 
Kwenye list ya medals alizopewa Rusesabagina sijaona medal kutoka serikali ya Rwanda, though you insist it is a common fact weka link kwa faida ya wengine nadhani hii medal hakupewa in secrecy.
 

hapana! walio kuwa hotelini ndio wanaongea, hebu tazama hapa Hollywood Debunked: What Really Happened Inside the Hotel RwandaÂ-|Â-Georgianne Nienaber au ununue kitabu kilicho andikwa na walio kuwemo hotelini ndio utagundua jamaa alivyouza mbuzi ndani ya gunia.
 
Kwenye list ya medals alizopewa Rusesabagina sijaona medal kutoka serikali ya Rwanda, though you insist it is a common fact weka link kwa faida ya wengine nadhani hii medal hakupewa in secrecy.

Nilishasema of course "hautaijua", kila siku huwa naweka links leo sitaki, tufanye ninadanganya..., rusesabagina was not awarded any medal in 2002 in absentia, was not congratulated by your gov in 2005, there are all lies. tufanye hivyo and let's move on.
 

mijadala kila siku inaishia na nyie na mkishafikia mwisho huwa mnaishia kwa matusi na confusion juu ya confusion, i can't waste my time. Huwa nafanyaga mmeshinda tu. After all kila mtu anaweza kuanza kusoma mjadala from start na kuamua mwenyewe nani kati yangu na nyie anasema ukweli.
 

Hao ni wale niliowaeleza: a) walioko rwanda ambao wamelazimishwa b)walioko nje ya rwanda ambao wana familia zao rwanda.
Hollywood pamoja na kutengeneza movies, hawawezi kutengeneza movie based on a true story bila kujiridhisha kama vile wanatengeneza bongo muvi.
Huyu hapa ni director:

"In May 2006, Terry George, director of Hotel Rwanda, wrote in the Washington Post in defense of Rusesabagina, saying '' I traveled to Brussels and Rwanda, and I met survivors from his hotel, some of whom still worked there. No one contradicted his story…Rwandan expatriates gave testimony to the veracity of the film, as did people who had been in the hotel and who tearfully acknowledged Rusesabagina's role.'' George went on to detail a meeting he had with Kagame himself in May 2005, where they (along with most of the Rwandan parliament) watched the film together. Kagame praised the film, while all the feelings of hatred and venom that Kagame felt towards Rusesabagina later, were seemingly non-existent.
"
source: Paul Rusesabagina

Haya na Director naye kumbe aliangalia movie akiwa na kagame himself tena bungeni pamoja na wabunge wengine! Huyu director naye ni interahamwe kama jmali mpaka adanganye kiasi hiki. Ila hamna tabu feel free kudai kuwa haya yote ni uongo.

PS: majibu yote kuhusu hivyo vitabu feki rusesabagina alishaandika hapa: Rusesabagina responds to Rwanda government book on ‘Hotel Rwanda' | The EUX.TV Blog

cc: Bongolander murutongore
 
......
 

kwa hiyo source ni Rusesabagina? lol... Huwezi kuwekahabari inayoleta madai kuhusu marekani halafu ukaficha kuwa imeandikwa na Northkorea.
Matokeo yake tutapoteza muda kusahihisha "makosa" kumbe mwandishihakukosea alikuwa anajua anafanya nini.
Wewe kwa nini unakwepa kuweka link ya huko ulikoitoa?

kweli jMali wee ni mtu wa ajabu sana, sasa ulitegemea Rusesabagina na jamaa waliye gawana mshiko wasemeje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…