Genge la Wanafiki wa CHADEMA

Genge la Wanafiki wa CHADEMA

Tukutane bungeni kama hamjaomba poo
Mbunge mmoja wa ukawa ni sawa na wabunge 10 wa CCM
Na lowassa mlisema hivyo hivyo, watu wakachinja! Bungeni labda poo ya kupiga kelele, sababu hata nguvu ya kuzuia mswada upinzani hawana! Au poo ipi wamaanisha?
 
Mod hizi thread muwe ziwe zinawekwa kwenye database maalum ya reference, maana hawa hawa watakuja tena na kukimbia maneno yao
 
Hakuna kitu hapo kuna uwezekano Mkubwa wa zito kuwa alinufaika na ufisadi wa mtuhumiwa! Hizo sifa alizompa, kuchanganya na anavyojibaraguza kuhusu ufisadi huu ni dalili za kupepesuka!
 
Ndugu Mchange, kumbe Mtela Mwampamba ni CHADEMA? Kweli ulistahili kipigo cha Kibaha Mjini. Mwaka huu wananchi hawakukuchangia pesa za rufaa kwa kuogopa kuwa ungefanya kama 2010.
 
Last edited by a moderator:
Mchange wewe ni miongoni mwa vijana wanaosababisha ACT kionekane ni chama cha hovyo.Huna utulivu,huna uwezo wa kujenga hoja na kuitetea.Lugha unayotumia inaonyesha wewe ni mtu wa aina gani.Huna future ya maana mwenye siasa ni bora angalia kitu kingine cha kufanya.
 
CDM iliyouzwa kwa rupia ndo wanapata nguvu za kumshambulia Zitto? si wangeanza kumkosoa Mbowe kwanza kuuza chama?
 
Jibuni hoja za mtoa hoja. Majibu yenu yanadhihirisha maneno ya BWM. Thibitisheni kwa hoja nani mnafiki kati ya ZZK na waliotajwa? Machange katos Maelezo ya unafiki wao,semeni unafiki wa ZZK jukwaa lipime kiwango cha unafiki wa kila mmoja wao.
 
Mchange wewe ni miongoni mwa vijana wanaosababisha ACT kionekane ni chama cha hovyo.Huna utulivu,huna uwezo wa kujenga hoja na kuitetea.Lugha unayotumia inaonyesha wewe ni mtu wa aina gani.Huna future ya maana mwenye siasa ni bora angalia kitu kingine cha kufanya.

we ni me au ke?sijaelewa ulichoandika au umetupia kakiroba
 
badala ya kuwashambulia vijana wa Chadema wewe unaishambulia Chadema, akili ndogo Hizi, kuna dhana ya separate entity ambayo Mchange haijuii
 
Kama kuna hata moja la uongo ambalo Mchange amelisema hapo ningeomba makamanda mlitaje.
 
Huyu habibu mchange nahisi kama ana upungufu wa akili. Siku zote anapambana na vyama vya upinzani sijui kwa nini. Kwanza nikwambie act si mali yako wala ya zito pili Chadema si Mali ya mbowe wala lowasa, wewe utatoka act na act itabaki. Tokea kitambo unamwadibia sana zito na wanaact wengine kwa kuwa tunashindwa kuelewa lengo letu ni nini? Kuua upunzani au kupambana na ccm ili tuingie ikulu. Poor mchangge, nahisi sasa ndani ya act tukuondoe haufai mchange unatuaribia.
 
kumbe mchange a.k.a mchanga. habiba mchanga? anaishi kwa kuzalisha pumba.
 
Ufisadi uliibuliwa na SFO hukoo uingereza hapa watu wanatafuta krediti za burere
 
Mchange kaongea ukweli kabisaaa, Ukweli Kitilya kafanya makubwa sana pale TRA na yanaonekana, suala la ufisadi moyo kiza kinene.Bila habari hizi kuibuliwa nadhani hakuna ambaye angejua kuwa jamaa alihusika na ufisadi.

Tumuache Zitto afanye kazi yake, awatumikie watanzania tunaomhutaji.

Zitto ni jembe huwezi kulinganisha na chadema yeyote. Period.

Umsahau kitu kimoja sio chadema tuu...hata huko act..zitto ndio act na act ndio zitto....wengine wote inluding yule prof ni walamba miguuu....yeye ndie alfa na omega wa act
 
Hahaaaa.....UNAFIKI BALAA!!! Zitto nae alipokua chadema alisema lowassa fisadi ila lowassa alipokatwa na ccm alikua wa kwanza kumuomba ajiunge act!!! Na hyhuy alisema msiwaamin wanasiasa na yy ni mwanasiasa pia!!! May be he lied!!!! Usipank mleta mada zitto is a politician n he lives in it!!! Usimtetee sana may be to him its just a game...POLITICS!! Who knows nini lengo lake????????? Mwanasiasa hafanyi kitu ambacho hakina benefit
 
Umsahau kitu kimoja sio chadema tuu...hata huko act..zitto ndio act na act ndio zitto....wengine wote inluding yule prof ni walamba miguuu....yeye ndie alfa na omega wa act

Usisahau kusema kuwa CHADEMA wamejiunga na Lowassa badala ya Lowassa kujiunga na CHADEMA, wengine wote pamoja na DJ Mbowe ni walamba Miguu.... yeye ndie alfa na omega
 
Na lowassa mlisema hivyo hivyo, watu wakachinja! Bungeni labda poo ya kupiga kelele, sababu hata nguvu ya kuzuia mswada upinzani hawana! Au poo ipi wamaanisha?

kizuri zaidi ni kuwa hawatapitisha tena miswada ambayo haina tija kwa nchi,kwa kuhofia kushughulikiwa na mheshimiwa rais,kwa kweli no wataisoma hao wabunge wako wa ccm
 
Back
Top Bottom