Genge la Wanafiki wa CHADEMA

Genge la Wanafiki wa CHADEMA

yuda ni yuda tu.. huwezi kumwita Petro..mchange.. punguza njaa.. 2010 si uliuza ww na 2015 umeuza tena? ndoroooobo we
 
Mchange amemtuma Kala Pina....

Huwezi kupata kura 1000 ukose msongo wa mawazo!
 
Wanasiasa wote wanafinki,waongo. . .sakane pesa achen kulia kulia humu

Tuzd ombea pombe afanye yake kutupa nyanja za usawa wa haki ktk kupata pesa
 
Zito alisema ana majina ya walioficha pesa uswisi wako wapi?
 
Hivi bado chadema wanajadiliwa tu?!!Anaepoteza muda kuwajadili,wehu,wahuni,wapumbafu,malofa,watoto nadhani amekosa chakufanya.cdm ni wakupuuzwa tu.
 
mchange sijaamini kama ungetumia nguvu zako ambazo tunazihitaji wapenda maendeleo kuwajibu haya majitu,hawa tuachie sisi tumalizane nao,watanzania wenye ubongo unaofanya kazi wanajua mlengo wa chadem ni nini,i hate this chagadema
 
GENGE LA WANAFIKI WA CHADEMA NA WAFUASI WAO WAKAPIMWE AKILI?.
-------------------------------------------------
Tangu asubuhi Leo vijana wa CHADEMA wametokwa na mishipa ya shingo Kumshambulia Zitto eti ni Mnafiki kwa kuwa aliwahi kuisifu kazi Ya kamishina mstaafu wa TRA Kitilya.

Hii ni baada ya kamishna huyo kuonekana sehemu ya kampuni ya EGM inayohusishwa na Utapeli wa bilioni 16 za mkopo.

Hivi nyie CHADEMA mlifikiri Zitto anaweza kujua yaliyo moyoni mwa Kitilya?.. Zitto alisifu utendaji kazi wa Kitilya ambao kila mtanzania aliuona na sio makando kando yake. Ni Kitilya na wenzake ndio wa kujieleza kwanini wameshiriki udanganyifu huo (kama wameshiriki). Na kumuacha Zitto aendelee na majukumu yake..

Eti Zitto Mnafiki.

Hivi unaweza Kumlinganisha Zitto Na Mbowe kwa unafiki?...Mbowe aliyesimama kidete Kumtukana LOWASSA na baadae kumsafisha?.

Mmesahau Mbowe alivyorudisha gari la BUNGE (KUB) kwa mbwembwe na bashasha akijidai anaunga mkono kubana matumizi na kulichukua tena kimyakimya

Hivi unaweza kumlinganisha Zitto na Lissu wa CHADEMA kwa unafiki?...Lissu aliyeshirikiana na Slaa kusoma Orodha ya Mafisadi na Kumtukana Lowassa mpaka matusi ya Nguoni?.

Hivi unaweza kumlinganisha Zitto Na Mnyika wa CHADEMA kwa unafiki?..mnyika aliyetamba kuwa na Ushahidi wa UFISADI wa Lowassa na kuishia kumnadi kama Rais?..

Hivi unaweza kumlinganisha Zitto na MSIGWA wa CHADEMA kwa Unafiki?..Msigwa aliyetaka wanaomuunga Mkono Lowassa wapimwe akili na yeye mwenyewe akaishia kumnadi bila aibu.

Unaweza kumlinganisha Zitto na Lema wa CHADEMA kwa unafiki?.

Lema aliyesema ni Heshima kubwa kwa Mungu kumzomea Lowassa kwa maana ni FISADI na baadae yeye mwenyewe kunadiwa na FISADI namba 9 katika orodha ya chadema?..

Umaweza kumlinganisha Zitto na CHADEMA kwa unafiki, CHADEMA walioweka orodha ya MAFISADI katika mtandao wao kwa miaka 8 na kuiondoa ghafla baada ya chama kununuliwa na Fisadi namba 9?...

CHADEMA waliogoma kuacha kupokea posho za vikao na kumuacha zitto peke yake aendelee kutokuzipokea na wao kuramba pesa za walipa kodi.

CHADEMA kwa sasa ndio kisima cha Wanafiki waliojificha kwenye wimbi la ukamanda.

Achaneni na Zitto fanyeni yenu na wanafiki wenzenu pamoja na mafisadi wenu mliowatoa CCM.

Habibu Mchange
0762178678
Dar es salaam.

ukapimwe akili
 
yuda ni yuda tu.. huwezi kumwita Petro..mchange.. punguza njaa.. 2010 si uliuza ww na 2015 umeuza tena? ndoroooobo we

yaani hapo ndio umejibu hoja yake.hahaha nchi hii ina viumbe wa ajabu kuliko sehem yeyote dunian
 
Mkuu anachokifanya magufuli sasa, amewafanya nyie wanasiasa muonekane kuwa watu wa ovyo na wakudandiadandia vitu.

Aseme wakati anamsifia hivyo wizi ulikuwa haupo pale bandarini.

Simama kwa mikuu yako usiishi kwa kutetea vitu usivyovielewa kiundani.
Nani amekuambia zito alikuwa anajua au hajui.
 
Huyu jamaa...sijui anapata wap ujasiri wakuandika haya wakati alipata kura buku tatu ...tu.....ingekuwa mm wala nisingetoka ndan

Kura 3000 nyingi sana ana haki ya kutembea mtaani! hukumbuki Mrema na bado yupo kitaa!
 
Chadema nimeshasemaga NI WANAFIKI, BAVICHwa maji nao wamerogwa kabisa, vichwani ni vacuum kabisa!
 
machange IPO siku utakuja kumshambulia zito hapa hapa wasaliti kusalitiana ni kawaida
 
Back
Top Bottom