Genge la Wanafiki wa CHADEMA

Genge la Wanafiki wa CHADEMA

Kwa wenye akili timamu....hamna mtu mwenye sifa ya kufanana na yuda atajayemfikia Mbowe......unamdhalilisha Slaa kisa pesa za fisadi Lowasa?....

Haiyumkini ndio maana mnaitwa Nyumbu

NYUMBU ni CCMscrow. Kwa miaka 50 wametumia maigizo wakidhani yataleta maendeleo. Na wafuasi wake wameendelea kusifia kama MAPIMBI!!

Sasa yameanza maigizo mapya, MANYUMBU ya CCMscrow kama kawaida mnasifia.

Baadae wakishagundua ni fiksi, wanaanza kutafuta vijimaneno kujiliwaza
 
....naona like zote umepewa na
"wandani"wenu ccm, hivi nje ya haya makelele unayopiga kuhusu Chadema una kazi yoyote ya kukuingizia kipato? au mpk ujikombe kwa msaliti akugawie chochote? unaonaje basi hata ukaenda kujiimarisha zaidi kule kibaha angalau uongeze zile kura 3000 ulizopata?
Mtt wa kiume usipende kutumika hovyo, madhara yake ni mabaya sn!

Wafasi wa chadema sawa na mzoga,wanaangaika kuupaka panyumu ili unukie vizuri,lkn haiwezekani
Walipiga kelele juu ya ufisadi sasa hivi ukitaka ufisadi wananuna kwa nini?
 
....huyu mchange ana maumivu makali ya wao act kuanguka vibaya kwenye uchaguzi wa 2015.....kwa kelele zao kabla ya uchaguzi kwa kweli sasa wana haki ya kuumia sana sana...maana ni zitto kati yao aliyepata ubunge....na sasa wanaona chadema ndio walisababusha wao kuanguka vibaya ...kwa kumpokea lowassa...hili hata zitto mwenyewe kakiri...

...hawa kina mchange ni wapiga filimbi wa zitto ambao ni losers....wamebaki kumpigia filimbi zitto...

Manyumbu bwana,na wewe ni kipenga cha kingunge
 
Hawa nyumbu wa chadema hawana wimbo wa kuimba wanasubiri akina M.b.o.w.e watunge wimbo mpya waanze kuuimba maana ule wa ufisadi walipigwa stoo kuuimba..... !!!!
Nikidhani majipu anayo tumbua sasa Magufuli yamekusaidia kuelewa kelele za akina Mbowe kumbe bado!!
 
Angalia comment za wafasi wa chadema ndo utajua kuwa hakuna kitu kibaya kuwa kahaba/Malaya wa siasa, sasa hivi hawaeleweki kuwa akili zao ni za malengo UPI,tangu fisadi alipowanunua hawajielewi wanabaki kutetea mafisadi wa upande wao na kuponda waliokuwepo ccm, itawachukua miaka 50 tena kutafuta falsafa mpya ,ya ufisadi mumeitupa ccm wameichukua,
 
Genge LA ukawa ni bora kufungua punda unaweza kuwapa mzigo wakaufikisha kuriko hawa wanaogeuza Malango ya ufisadi njiani,
 
Angalia comment za nyumbu wa chadema
Wanavyosapoti kuitwa lowasa fisadi na chadema huku wakiponda mafisadi mengine
 
Zitto amesema walioshindwa ubunge watapewa kazi nyingine. Inawezekana brother Mchange ndo kapewa kazi ya kushughulika na upande wa mitandao ya kijamii kupambana na watu wanaomshambulia Zitto kwa namna moja au nyingine. Halafu kwa akili yake, wanaoona mabaya ya Zitto ni wanachama wa CHADEMA pekee.
 
Mwanasiasa ambae siyo mnafiki wa upinzani alikuwa mmoja tu, Dr. Wilbroad Peter Slaa wengine wote hata wewe Habib Mchange ni wale wale, wanafiki na wasaka tonge.
 
sasa haya matusi ya nini? Mtu mwenyewe unajiita moto chini, endelea kuwashiwa moto huko chini.siasa achia wenye akili.
Nyumbu yeyote hana lakunieleza, jipime kwa ulofa wako kisha quote post yangu, sivyo endelea na uzuzu wako kumfulia Kaptula DJ BOWE
 
GENGE LA WANAFIKI WA CHADEMA NA WAFUASI WAO WAKAPIMWE AKILI?.
-------------------------------------------------
Tangu asubuhi Leo vijana wa CHADEMA wametokwa na mishipa ya shingo Kumshambulia Zitto eti ni Mnafiki kwa kuwa aliwahi kuisifu kazi Ya kamishina mstaafu wa TRA Kitilya.

Hii ni baada ya kamishna huyo kuonekana sehemu ya kampuni ya EGM inayohusishwa na Utapeli wa bilioni 16 za mkopo.

Hivi nyie CHADEMA mlifikiri Zitto anaweza kujua yaliyo moyoni mwa Kitilya?.. Zitto alisifu utendaji kazi wa Kitilya ambao kila mtanzania aliuona na sio makando kando yake. Ni Kitilya na wenzake ndio wa kujieleza kwanini wameshiriki udanganyifu huo (kama wameshiriki). Na kumuacha Zitto aendelee na majukumu yake..

Eti Zitto Mnafiki.

Hivi unaweza Kumlinganisha Zitto Na Mbowe kwa unafiki?...Mbowe aliyesimama kidete Kumtukana LOWASSA na baadae kumsafisha?.

Mmesahau Mbowe alivyorudisha gari la BUNGE (KUB) kwa mbwembwe na bashasha akijidai anaunga mkono kubana matumizi na kulichukua tena kimyakimya

Hivi unaweza kumlinganisha Zitto na Lissu wa CHADEMA kwa unafiki?...Lissu aliyeshirikiana na Slaa kusoma Orodha ya Mafisadi na Kumtukana Lowassa mpaka matusi ya Nguoni?.

Hivi unaweza kumlinganisha Zitto Na Mnyika wa CHADEMA kwa unafiki?..mnyika aliyetamba kuwa na Ushahidi wa UFISADI wa Lowassa na kuishia kumnadi kama Rais?..

Hivi unaweza kumlinganisha Zitto na MSIGWA wa CHADEMA kwa Unafiki?..Msigwa aliyetaka wanaomuunga Mkono Lowassa wapimwe akili na yeye mwenyewe akaishia kumnadi bila aibu.

Unaweza kumlinganisha Zitto na Lema wa CHADEMA kwa unafiki?.

Lema aliyesema ni Heshima kubwa kwa Mungu kumzomea Lowassa kwa maana ni FISADI na baadae yeye mwenyewe kunadiwa na FISADI namba 9 katika orodha ya chadema?..

Umaweza kumlinganisha Zitto na CHADEMA kwa unafiki, CHADEMA walioweka orodha ya MAFISADI katika mtandao wao kwa miaka 8 na kuiondoa ghafla baada ya chama kununuliwa na Fisadi namba 9?...

CHADEMA waliogoma kuacha kupokea posho za vikao na kumuacha zitto peke yake aendelee kutokuzipokea na wao kuramba pesa za walipa kodi.

CHADEMA kwa sasa ndio kisima cha Wanafiki waliojificha kwenye wimbi la ukamanda.

Achaneni na Zitto fanyeni yenu na wanafiki wenzenu pamoja na mafisadi wenu mliowatoa CCM.

Habibu Mchange
0762178678
Dar es salaam.

Umenena mzalendo... Kumbuka kila mtu ana bei yake kwani Mbowe,Lissu, Mnyika, Msigwa, Sugu n.k Lowassa alifika bei wakapiga kimya.
 
Kuweka kumbukumbu sawa, Zitto ndiye alikuwa mwanasiasa wa kwanza kumwalika lowassa kwenye chama chake cha ACT baada ya jamaa kukatwa na ccm. Kwa hiyo kama lowassa angeamua kwenda ACT angepokelewa tu. Nadhani ktk hili tutende haki
 
Sioni mtu mshenzi na mnafiki zaid ya mbowe ulimwengu huu
 
Mwanasiasa ambae siyo mnafiki wa upinzani alikuwa mmoja tu, Dr. Wilbroad Peter Slaa wengine wote hata wewe Habibu Mchange ni wale wale, wanafiki na wasaka tonge.
 
Back
Top Bottom