Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,014
- 144,371
Generali mmoja wa Uganda ametishia kumuondoa madarakani Raisi Museveni wa Uganda endapo ataendelea na mpango wake wa kutaka kurithisha madaraka ya uraisi kwa mwanae.
Akihojiwa katika kipindi cha BBC swahili kinachorushwa na Star Tv cha jana saa 3 kasorobo usiku,General huyo ambae alipigana bega kwa bega na Raisi Museven kumuondoa madarakani Raisi wa wakati huo,Militon Obote amemshutumu Raisi Museven kwenda kinyume na malengo ya kidemokrasia waliokuwa wanayapigania wakati huo.
Generali huyo ambae jina lake limenitoka aliongea kwa kujiamini sana na huenda ana watu wa kumuunga mkono.
MY TAKE:MUSEVEN MUST GO!