Generali wa kijeshi raia wa Uganda atishia kumuondoa Madarakani Raisi Museven

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
46,985
144,312
Generali mmoja wa Uganda ametishia kumuondoa madarakani Raisi Museveni wa Uganda endapo ataendelea na mpango wake wa kutaka kurithisha madaraka ya uraisi kwa mwanae.

Akihojiwa katika kipindi cha BBC swahili kinachorushwa na Star Tv cha jana saa 3 kasorobo usiku,General huyo ambae alipigana bega kwa bega na Raisi Museven kumuondoa madarakani Raisi wa wakati huo,Militon Obote amemshutumu Raisi Museven kwenda kinyume na malengo ya kidemokrasia waliokuwa wanayapigania wakati huo.

Generali huyo ambae jina lake limenitoka aliongea kwa kujiamini sana na huenda ana watu wa kumuunga mkono.

MY TAKE:MUSEVEN MUST GO!
 
Mtu wa karibu yako anajua strengths na weaknesses zako nyingi kwa hiyo huenda huyo jenero anaweza kumfanya kitu mbaya M7.
 
hao waganda wanayapenda sana mapinduzi na kusem aukweli hawawezi kuishi bil akufanya mapinduzi
 
Wabongo kaeni chonjo! mkiona kwa jirani kunafuka moshi angalieni kwenu usiwake Moto! yatulizeni kwanza yanayotokea Arusha na kwingineko Bongo! vinginevo 2015 moshi unawezafuka kama si Moto kuwaka kabisaa!!
 
Back
Top Bottom